Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

"Mnyama kumsajili Korodimbwi siku yoyote"
"Korodimbwi kampigia Hersi kuomba ushauri"
"Vyura wanasa sain ya Korodimbwi" Mnyama kazubaa sana.

Alisikika mchambuziii.
 
"Mnyama kumsajili Korodimbwi siku yoyote"
"Korodimbwi kampigia Hersi kuomba ushauri"
"Vyura wanasa sain ya Korodimbwi" Mnyama kazubaa sana.

Alisikika mchambuziii.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Reactions: Tsh
Mkuu mbona una maelezo mengi sana ๐Ÿ˜ƒ
 
Hawa viongozi wa Simba haswa watu wa usajili waache upumbavu nimekuja kutafakari na kuhitimisha kua zile tuhuma kua wanaleta wachezaji ambao Wana hamu na kucheza Tanzania kwa timu hizi za kariakoo wakiaminishwa kua watatoboa kupitia Simba na watahakikishiwa kupewa nafasi ya kucheza mara nyingi halafu wanawapa ten pasenti ..mwisho wa siku mchezaji anakuja mechi ya kwanza na ya pili baaaas.. anakaa.benchi.mana sio sajili.mwalimu.aliotaka..mwisho wa siku wachezaji wanakatisha mikataba wanaondoka mana wataonekanaje kama.hawachezi? Wanashangaa wamekuja wanawekwa benchi badala ya kucheza
.. Ndio mana unaona lundo la wachezaj wanaachwa..ninaamini hizo ni ten pasenti na sio sajili anazopendekeza kocha..tofaut na profeshno wanaojua boli mtu kama mpanzu utamuombaje ten pasenti na hapo mwanzon ukizubaa tu kumsajili anaenda kwingine mana ana uhakika.na kiwango chake...waache huu ujinga mara Moja...
 
Shida yako unapenda kusikia vitu unavyopenda wewe,usivyovipenda hutaki kusikia.
Ukiambiwa ulete uthibitisho kuwa hersi said alitaka kumrubuni Micky unaweza kuthibitisha?
 
Shida yako unapenda kusikia vitu unavyopenda wewe,usivyovipenda hutaki kusikia.
Ukiambiwa ulete uthibitisho kuwa hersi said alitaka kumrubuni Micky unaweza kuthibitisha?
Inuka lala chini tambaa ..ukweli ndio huo. Unaweza kumfananisha Micky na Hawa media puppet wengine wanaosema hivi

"Mchezaji anaakaribia kusajiliwa Simba, Simba yatuma ofa, ..

Baada ya dakika 10, yanga yaingilia Dili la Simba, hersi apiga simu na kumaliza kila kitu

Baada ya dakika 15, hatimaye yanga yaipiku Simba dakika za mwisho kumsajili mchezaji hatari aliekua anatakiwa Simba..

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Msimu uanze muanze kelele zenu GSM anaharibu ligi,baadae muanze kelele za mangungu ajihudhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ