900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
25/26 Simba bingwaMara puuuh Yanga inamtambulisha Ellie Mpanzu leo.
Unauliza majibu? Kwani Che na Shabalala bado wapo?Nimeuliza boss ni wachezaji wawili wa defence kutoka kikosi cha kwanza wameondoka si ndio?
OK, Kwa mtazamo wako na hitimisho lako Kikosi kimebomoka kwa shabalala 28+ na Che aliyekuwa na kiwango cha kupanda na kushuka kuondoka. Si ndio?Unauliza majibu? Kwani Che na Shabalala bado wapo?
Okay replacement yao ambao walikuwa hawana kiwango cha kupanda na kushuka kwenye timu yako ni wakina nani? Hata kwenye vibovu kuna vyenye hafadhali.......OK, Kwa mtazamo wako na hitimisho lako Kikosi kimebomoka kwa shabalala 28+ na Che aliyekuwa na kiwango cha kupanda na kushuka kuondoka. Si ndio?
Naipongeza klabu ya Yanga kwa kukataa kuingia kwenye mtego wa kumpatia Chama mkataba mwingine mnono, huku kwenye msimu wake mmoja alioutumikia kwenye klabu akitumia muda mwingi kutokea benchi.Official:
Chama, Aucho, Mkude wapewa thank you Yanga
1. Mohamed Hussein, 2. Che Malone, 3. Ngoma, 4. Atteba (hati hati)! Na bado tetesi zimeendelea kutawala.Kikosi cha kwanza cha simba wameondoka wangapi?
Simba wameshatangaza sajili zao official?Okay replacement yao ambao walikuwa hawana kiwango cha kupanda na kushuka kwenye timu yako ni wakina nani? Hata kwenye vibovu kuna vyenye hafadhali.......
Kabisa mkuu. Wachezaji wa4 ambao mmoja tu ndo tumeshangaa yeye kuondoka. Hao wengine kina ngoma kulikuwa hakuna cha ziada wangeweza fanya.1. Mohamed Hussein, 2. Che Malone, 3. Ngoma, 4. Atteba (hati hati)! Na bado tetesi zimeendelea kutawala.
ishu ya Aucho hainatofauti na Zimbwe ila kwakuwa Yanga wanafanya vizuri wamekuwa na luxury ya kufanya watakavyo katika usajili na wasisemwe vibaya. unaacha mchezaji ambae alisimika utawala wake kwenye kikosi cha kwanza ukitarajia makubwa kwa new player ni mchezo hatari sanaNaipongeza klabu ya Yanga kwa kukataa kuingia kwenye mtego wa kumpatia Chama mkataba mwingine mnono, huku kwenye msimu wake mmoja alioutumikia kwenye klabu akitumia muda mwingi kutokea benchi.
Ni bora kusajili wachezaji wazuri vijana na wenye msaada kwenye timu.
Kuhusu Aucho, huyu hana deni na timu ya Yanga. Hakika alikuwa ni mhimili kweli kweli pale nyuma.
Simba will πππ sign Claude Niyomugabo from APR FC β the rumours are false. β
Nani kutoka kwenye first 11 ya simba zaidi shaba, ngoma na ateba?2
Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
chemalone hujaona ubovu wake?Unauliza majibu? Kwani Che na Shabalala bado wapo?
Unaanzaje kusuka defense ambayo wameondoka mabeki wawili na mmoja alikua amesha poteza nafasi kwenye kikosi Cha kwanza2
Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
Kabisa, Wacongo ni wengi sana Arushasura kama hizi mara nyingi utakutana nazo kwenye mabasi yaendayo Arusha bablay
Umtoe Mukhwala uchukue Dube!? Dube hajawahi kuwa striker wa kutegemewa hata kwenye ligi ya ndani tu ndo umpeleke CCL!? Hafai Hafai HafaiSimba chukua Dube huyo
Khalid aucho kaelekea wapi asee?Official:
Chama, Aucho, Mkude wapewa thank you Yanga
Hii hela kachukua singida au kachukua yeye binafis?400000$ ni
1,025,785,688.00 Billion
π
Hii ni Dili ya ateba kaka...Sasa sijajua ateba ndio kachukua hio ama vipi pia imetumika hio hio kumpata sowah..sasa sjui ni yanga B wamechukua hio ama mchezajiHii hela kachukua singida au kachukua yeye binafis?
unahisi hakuna replacement? Waandishi bahasha wameshindwa kupata taarifa kutokana na uchawa ila wachezaji mbadala wapo, muda ukifika utawajuaOkay replacement yao ambao walikuwa hawana kiwango cha kupanda na kushuka kwenye timu yako ni wakina nani? Hata kwenye vibovu kuna vyenye hafadhali.......
Wachaaambuziii watasema Simba imetuma ofa ndogo wakazidiwa.Simba will πππ sign Claude Niyomugabo from APR FC β the rumours are false. β
Also: the club has πππ sent any offer for Khadim Diaw of Al Hilal as at now. π«
#Transfers
#AfricanFootball
Media journalist pekee ambaye hajanunuliwa na yanga awe chawa.
Tsh Hichilema Ubaya Ubwela