Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,693
- 3,597
Hamza hamna beki hapo. Mara nyingi akiona mechi ni ngumu anajivunja.Quality yao haifanani na wale wawili, kama huyo Chamou, sijui kama atabaki beki hapo labda Hamza na Kapombe. Kujenga defense ni kazi kubwa sana.
Natamani sana Yanga timu ianze kukaa kambini mapema.Naipongeza klabu ya Yanga kwa kukataa kuingia kwenye mtego wa kumpatia Chama mkataba mwingine mnono, huku kwenye msimu wake mmoja alioutumikia kwenye klabu akitumia muda mwingi kutokea benchi.
Ni bora kusajili wachezaji wazuri vijana na wenye msaada kwenye timu.
Kuhusu Aucho, huyu hana deni na timu ya Yanga. Hakika alikuwa ni mhimili kweli kweli pale nyuma.
Hichilema,,, micky jnr anasema Simba haijawahi kumhitaji Diaw left back wa al Hilal omdurman ya Sudan,, kwenye tetesi zako no19 unasema simba inamuhitaji Diaw,,,, walikulisha Matango pori??......But all in all your Doing a great job keep it up brother!!
Micky the professionalIshu sio kununuliwa ila unaonekana ni mtu unayependa kusikia mabaya ya Yanga na mazuri ya Simba pekee ndio maana unaona kuwa Micky ndio mtu sahihi kwako. Micky ni mwandishi ambaye ni shabiki wa Simba na kamwe huwezi kusikia akiongea jambo lolote baya kuhusu Simba na wala lolote zuri lolote linalohusu Yanga hata vile vipigo ambavyo Simba ananyukwa na Yanga huwa ni ngumu kuleta update kwa wakati ila Simba ikiwa imeshinda fasta tu anapost. Umemchagua Micky kwasababu ana post habari unazozipenda kuzisikia.
Una akili ndogo sanaa,,, Mimi kama muungwana Hichilema alikosea na mimi nikamkumbusha tu,,, wapi nimemdharau???,,,, tumia akili sawa ww boya???,, waambie na wenzio sawa??Kwanini umemdharau Hichilema kuwa kalishwa matango pori kisa tu habari fulani Micky yupo tofauti nayo? Kwamba Micky yupo karibu sana na uongozi wa Simba au ana watu wengi wa kumpa taarifa kuliko huyu member?
Hata Micky hukosea pia sijui inakuaje mnamkuza kama vile yeye ndio mtu wa uhakika kuliko wengine wote. Hivi ishu ya Aziz Ki kujiunga Yanga si aliaminisha watu kwa asilimia mia kuwa Aziz Ki hatojiunga Yanga na akawa ana post kuwa wakala wa Aziz Ki sio yule aliyepo na Hersi. Mwisho kulitokea nini?
Kosa lake ni lipi? Je una uthibitisho upi kutoka kwa viongozi wa Simba kuwa. Hichilema amekosea? Uzuri ni kwamba ukitukana na ukipaniki basi uneishiwa hoja na hujui kujadiliana kwa hoja.Una akili ndogo sanaa,,, Mimi kama muungwana Hichilema alikosea na mimi nikamkumbusha tu,,, wapi nimemdharau???,,,, tumia akili sawa ww boya???,, waambie na wenzio sawa??
Na uliwaamini waliosema Ngoma kaibiwa Airport?Inuka lala chini tambaa ..ukweli ndio huo. Unaweza kumfananisha Micky na Hawa media puppet wengine wanaosema hivi
"Mchezaji anaakaribia kusajiliwa Simba, Simba yatuma ofa, ..
Baada ya dakika 10, yanga yaingilia Dili la Simba, hersi apiga simu na kumaliza kila kitu
Baada ya dakika 15, hatimaye yanga yaipiku Simba dakika za mwisho kumsajili mchezaji hatari aliekua anatakiwa Simba..
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Mkuu naona thread yako inaanza kupata matangazo 😂😂 Inabidi uwachaji 😀. Rushine De Reux ni mnyama
leta rejea ya majina ya namna hyKifaransa ou huwa zinatamkwa kama u. Sasa sijui kouma watangazaji watamuitaje!!?
Kort Zouma (Zuma)leta rejea ya majina ya namna hy
Kouyate (Kuyate)leta rejea ya majina ya namna hy
Keshaongezewa Dennis Nkane, mbadala wake...Ningefurahi mno kama timu yangu yanga sc, ingemuongezea mkataba chama bonge la mchezaji.
Age yake ni 29 yrs, seems like mpango wa kusajili vijana ushakufa. Rushine De Reux ni mnyama