Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Che Malone Fondoh ....Nimeuliza boss ni wachezaji wawili wa defence kutoka kikosi cha kwanza wameondoka si ndio?
Achaneni naye hajui atendalo.Hizi ID humu Jamii forums zinaficha mengi
Ukute hili ni chizi na watu na akili zetu tunahangaika kulipa elimu ila bahati mbaya linashindwa kuficha upumbavu wake
Ya kweli mkuu hii?Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
Hiyo sasa sio Boxing bali ni boxer.Boxing kati ya nkane na kibwana WAUANE tu.
Mnyama gani tena?Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
Ya kweliYa kweli mkuu hii?
Simba wa kariakooMnyama gani tena?
tobaaah!, hii nchi ina amani tangu 1961Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
Yes. Huyu ni wa thank you.Che Malone Fondoh ....
Mbumbumbu Huwa mnajificha kama hiviSafari hii tumeamua kuwaacha wajimalize, baadaye watayakana maneno yao na kutafutana mmoja mmoja, muda ni mwalimu mzuri kwa wanafunzi wanaokariri maisha
Ndio maana nikasema muda ni mwalimu Mzuri kwa wanafunzi WANAOKARIRI maishaMbumbumbu Huwa mnajificha kama hivi
Hata derby mlikaa kimya baadaye mkamleta Mpanzu wenu mkafungwa 2 na mara ya 5 mfululizo mkatulia
Pole.Safari hii tumeamua kuwaacha wajimalize, baadaye watayakana maneno yao na kutafutana mmoja mmoja, muda ni mwalimu mzuri kwa wanafunzi wanaokariri maisha
Uzuri mtatoka huko mapangoni na akina Khadim Diaw mnaowaficha tuwapige tenaNdio maana nikasema muda ni mwalimu Mzuri kwa wanafunzi WANAOKARIRI maisha
Usajili mzuri sana. Naona ni mapenzi kwa klabu na pia kuvutiwa na projectSimba wa kariakoo
Nilisema usajili mkubwa unakuja hapo awali wa kunibeza wakanibeza. I was sure of what was comingUsajili mzuri sana. Naona ni mapenzi kwa klabu na pia kuvutiwa na project
Ila hata Mimi nawezaje kurudi timu iliyokua inani undermine na kufikia kumdhihaki mama mzazi...nisingeweza kurudi kamwe...kakataa na pesa za Azam..sometimes it's not about the money....fei ni mtu mwenye hulka flani hivi...anyway let's goo..! Here we go!