Mimi huko siataka kujikita. Na uhakika huko namba zake ni nzuri japokuwa hata upande huu unaweza kuwa debatable kama uta argue kuwa Balla Conte amemzidi mbali KagomaSawa hajawahi kufunga vipi ana key passes ngapi,ana interception ngapi, tackling ngapi amepora mipira mara ngapi ? Hizi rekodi hujaweka kwani haya ni majukumu yake ya msingi.
Badala ya kubeza walau ungeangalia kwa jicho la kihalisia.Jaribu kuwa mtu mzima, embu achana na huyo jamaa.
Basi atawafunga nyie mbumbumbuBadala ya kubeza walau ungeangalia kwa jicho la kihalisia.
Mechi 55 guys no goal no assist, kweli mmedhamiria mnataka kuifanya ionekane kawaida?
Hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako au, hebu ziweke hapa tuone hao wachambuzi walikosea nini, vipi na kimataifa ambako simba wamefika fainali nako walibebwa na marefa, au ndio mnataka kusema mashujaa ni bora kuliko stellenbosch, hebu ficheni upumbavu wenuYoung man, relax! Ok?
Yanga inakufunga back to back, halafu unasema ni ubingwa wa mchongo!!
Vipi kuhusu zile mechi zilizochezeshwa na wale waamuzi wenu akina Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, Shomary Lawi, na Heri Sasii!! Una maoni gani?
Kwanza mimi sijamlinganisha Kagoma na Conte, sababu sijamuona Conte mimi ndio maana kama unakumbuka comment yangu ya kwanza, nilisema tunabishania wachezaji ambao hatujawaona wakicheza. Halafu CAF wamerank based on mashindano yao, hujamwona kwenye ligi akicheza. Mimi wachezaji wote walio sajiliwa ,mpaka sasa hayupo ambaye ninaye mkubali ,mpaka nikiwaona wakicheza atleast mechi tano za ushindani ndipo nitaongea kitu kuhusu uwezo wao.Mimi huko siataka kujikita. Na uhakika huko namba zake ni nzuri japokuwa hata upande huu unaweza kuwa debatable kama uta argue kuwa Balla Conte amemzidi mbali Kagoma
Kwasababu takwimu tu za CAF kwa mashindano ya shirikisho msimu ulioisha Kagoma alishika nafasi ya 83 wakati Balla conte alishika nafasi ya 97
So kupima kiwango cha promo na numbers zake ndio kitu ambacho ni irrelevant na ndio sababu na dispute baadhi ya narrative za kumkingia kifua kwa uzembe wa kuto assist wala goli kwa mechi 55
Kimataifa ipo hii ya kombe la shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama?Hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako au, hebu ziweke hapa tuone hao wachambuzi walikosea nini, vipi na kimataifa ambako simba wamefika fainali nako walibebwa na marefa, au ndio mnataka kusema mashujaa ni bora kuliko stellenbosch, hebu ficheni upumbavu wenu
Wewe ni mmoja wa mbumbumbu Aliaowataja RageMkuu, mimi ni mjumbe japo wanataka kuniua as if nasajili mimi
Alikuwa na assist 2Kwa ki
Mchezaji kama Bosquest akicheza misimu miwili na akiwa na form ya juu bila goli
Tupe takwimu za Mukwala na Ateba mkuuMkuu huwa unanikera sana lakini ni ukweli mchungu... kwenye usajili huwa tunakuwa na furaha kuliko yanga lakini mwishoni plot ina twist.
Usitumie nguvu mkuu. Tumia akili. Dirisha hili haliko mbali kufungwa. Angalia usije ukakimbia mijadala. Wasalaam Kyerwa, Katelelo na hapo senta jirani ulipoWewe ni mmoja wa mbumbumbu Aliaowataja Rage
Ni kweli hakuna aliyemuona akicheza na hata ile siku anacheza hapa kwa Mkapa hakuna aliyemzingatia.Kwanza mimi sijamlinganisha Kagoma na Conte, sababu sijamuona Conte mimi ndio maana kama unakumbuka comment yangu ya kwanza, nilisema tunabishania wachezaji ambao hatujawaona wakicheza. Halafu CAF wamerank based on mashindano yao, hujamwona kwenye ligi akicheza. Mimi wachezaji wote walio sajiliwa ,mpaka sasa hayupo ambaye ninaye mkubali ,mpaka nikiwaona wakicheza atleast mechi tano za ushindani ndipo nitaongea kitu kuhusu uwezo wao.
Ngoja nikufundishe dogoAlikuwa na assist 2
Mechi 100 usifunge wala usi-assist?Kiungo mkabaji ikitokea amefunga ni bonus tu. Lakini anaweza hata akacheza mechi 100 na asifunge goli na wala watu hawatashtuka kikubwa awe tu ametimiza majukumu yake mama ya kulinda "back four" yake. Kiungo mkabaji hahesabiwi magoli aliyofunga anahesabiwa umeme aliokata full stop.
Kuhusu Balla Conte kila mtu anayeujua mpira amemuona ni mchezaji mzuri sana mkata umeme kweli kweli lakini anaweza akafaulu kwenye ligi yetu au akafeli wala haitakuwa ajabu kwani ndio ipo hivyo duniani kote mchezaji anaweza kuwika timu A akaenda timu B akawa kichekesho.
Me nakupinga tu ukifanya uposhaji wa waziUsitumie nguvu mkuu. Tumia akili. Dirisha hili haliko mbali kufungwa. Angalia usije ukakbia mijadala. Wasalaam Kyerwa, Katelelo na hapo senta jirani ulipo
Tukisema Conte ni mbovu kwa ligi yetu tunakuwa tunakosea sana. Kama nchi hatujafikia huo ubora wa kusema hivyo kisayansiWewe nae waga ni dish sasa hao uliowataja walikua wanamajukumu sawa na huyu Konte au ujuaji tu
Ukisema pre assist utajikuta unatoa mashavu kwa kila mchezaji aliyeugusa mpira ukianza na kipa kama shambulizi lilianza kwa transitionNgoja nikufundishe dogo
Mpira uwanjani unacheza na timu
Wewe mbumbumbu unatazama magoli
Hata hilo goli Lina assist na assist ina pre assist na pre assist na pre assist ya pre assist
Ndo maana timu Zina washambuaji kama Lewandoski, pre makers kama iniesta, offensive midfield kama Xabi na Defensive midfield kama Bosquest
Huku nyuma Kuna defenders
Hii kila mtu ana majukumu yake
Nakuja mkuu. Dili la Fei likitiki niandalie AmeelezaMe nakupinga tu ukifanya uposhaji wa wazi
Karibu Kyerwa
Ndio mpira wetu wachambuzi wamewasifia wengi wakina Sawadogo, Boka,Bigirmana nk.Ndio maana mimi situmii akili za wachambuzi sababu mpira na ujua nataka niwaone mwenyewe wachezaji wakiwa wanacheza mechi atleast tano zenye upinzani na sii haya mabonanza na friend mechi baada ya hapo nitacomment.Ni kweli hakuna aliyemuona akicheza na hata ile siku anacheza hapa kwa Mkapa hakuna aliyemzingatia.
Kitu kilichofanya kwenye ishu yake mpaka nimtajje Kagoma ni kwasababu walio hype kuwa ni mchezaji mkali ambaye hajawahi kutokea kwenye ligi ya bongo walikuwa wakimfananisha na Kagoma lakini Kagoma walikuwa wanam undermine.
Kuna trend ya wachambuzi na baadhi ya mashabiki kutukuza sana sajili za foreigners na kudunisha wachezaji wa ndani.
Ni wachambuzi hawa hawa waliowahi kumsifia Ikangalombo na sasa wamebadilisha tone now wanamkataa.