Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na cha kuongezea kombe la dunia 2006 mchezaji bora alikuwa beki wa timu ya taifa ya Italy Cannavaro;-

1. Alifunga magoli mangapi?
2. Alikuwa na assist ngapi?
 
Doumbia atasumbua sana....ecua ni moto, yanga wako vizuri ngonja TUONE Simba wanakujaje
 
Msimu ulioisha hukumbuki Aucho akifunga goli?
Weka takwimu ya magoli na assist alizotoa. Maswali mengi ya nini? Nimekuambia sikumbuki. Na kama huna takwimu, tuwaombe wenye nazo wasaidie zipatikane.

Ikiwezekana weka na idadi yote ya magoli na assist alizotoa Aucho tangu alipojiunga Yanga, halafu tuone kama nguvu yake kubwa aliwekeza kwenye ukabaji na kuzuia mashambulizi ya adui, au kwenye kufunga na kutoa assist.
 
Msimu ulopita Aucho alicheza mechi 22 kati ya 30 za ligi kuu, akikosa mechi 8 pekee.

Akifunga goli 1 (yanga vs mashujaa dk 55)
na kutoa assist 1.
Kiasili Aucho ni Defensive na sio attacking.. hivyo apimwe kupitia ulinzi na sio ushambuliaji. hapo tunatakiwa kuangalia yanga imeruhusu goli ngapi msimu mzima.
 
Kwani hujui kusoma?
Na uhangalii mpira?
Mimi na wengine wengi tuliangalia hizo mechi na hatukuona hayo unayoyasema, inawezekana labda mwenzetu uliangalia mechi tofauti na sisi, au labda hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako wengine hatukuziona ndio maana nasema uniwekee hapa
 
Hoja sio "nguvu kubwa kwenye assist na magoli"

Hapa hoja ni kweli Aucho aliwahi kkumaliza msimu paspokuwa na assist wala goli? Hapa tunataka kufanya tathmini ya msimu mmoja tu sio mechi 55 ambazo Conte amecheza.
 
who told you nina furaha, binafsi naona ni utoto kumkandia au kumsifia mchezaji ambaye haujamwona akicheza. The likes of member ambae anasema Conte 55 games neither goal nor assist ilhali anajua kabisa jamaa ni DM
DM sio kigezo cha kuhalalisha uzembe wake.

Kuna wanacheza position tight kuliko yeye and still hawawezi kucheza mechi 55 pasipo ku assist wala kufunga.
 
DM sio kigezo cha kuhalalisha uzembe wake.

Kuna wanacheza position tight kuliko yeye and still hawawezi kucheza mechi 55 pasipo ku assist wala kufunga.
Naomba tutajie majukumu ya kiungo mkabaji, tuanzie na hapo kwanza
 
Naomba tutajie majukumu ya kiungo mkabaji, tuanzie na hapo kwanza
Kiungo mkabaji majukumu yake kwenye mpira wa kisasa hayamfanyi awe fixed sehemu moja.

Kiungo mkabaji anategemewa kwenye offensive strategies na kwenye transition play.

Msitafute kichaka guys, mechi 55 ni nyingi mno.
 
Mimi na wengine wengi tuliangalia hizo mechi na hatukuona hayo unayoyasema, inawezekana labda mwenzetu uliangalia mechi tofauti na sisi, au labda hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako wengine hatukuziona ndio maana nasema uniwekee hapa
Wewe ni mshabiki wa timu gani.
 
Kiungo mkabaji majukumu yake kwenye mpira wa kisasa hayamfanyi awe fixed sehemu moja.

Kiungo mkabaji anategemewa kwenye offensive strategies na kwenye transition play.

Msitafute kichaka guys, mechi 55 ni nyingi mno.
Mzee mbona unakimbilia kwenye hitimisho wakati tupo katika msingi wa hoja? Unaanza kusema habari za hamfanyi awe fixed wakati umeambiwa toa majukumu ya kiungo mkabaji. Elezea majukumu kwani kuna sehemu nimeongelea habari ya fixes sehemu moja?

Nataka uorodheshe majukumu ya kiungo mkabaji mbona swali dogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…