Atawaleta. Wanatumwa Simba app na yeye anatupa taarifa. Kama una Simba app unaweza kuwa unachungulia pia.Leta mwingine
YesMlinzi huyu.
Safi. Endelea kutupa habari mkuu.
a condom would have prevented this commentNawapongeza watani zangu mbumbumbu Kwa utambulisho wa wachezaji wapya katika jezi mpya za msimu.
Ila huyo beki kama mrembo ataweza kuzuia Mafuriko ya Pacome, Max, Doumbia, Ecua, Kouma, Dube
Karibu Rushaina ManaraView attachment 3423750
Hii jezi nimeipigia salutiJezi ya simba ya msimu huu ni kali.
Jezi nzuriHii jezi nimeipigia saluti
Sasa ashindwe kwa mtu anaitwa kouma( ****) kweli? 😂Nawapongeza watani zangu mbumbumbu Kwa utambulisho wa wachezaji wapya katika jezi mpya za msimu.
Ila huyo beki kama mrembo ataweza kuzuia Mafuriko ya Pacome, Max, Doumbia, Ecua, Kouma, Dube
Karibu Rushaina ManaraView attachment 3423750
Shadeeya nakununulia huu mjezi mzuriJezi ya simba ya msimu huu ni kali.
samahani boss hii nakupa NO. simba hawajachanganikiwa kwa kiasi hichoAubin Kramo anatakiwa na Simba SC
Huyu anatakiea na Singida siyo SimbaAubin Kramo anatakiwa na Simba SC