Ni binadamu boss, siyo takataka.hiyo takataka haiwezi kufikia demands za Young Africans, club ambayo inataraji kuperform better kwenye CAF champions league. inshort anaenda kuwa squad player tu benchi ndio makazi yake
Poa poa mtalamNdo naamka ndugu yangu . Nililala mapema
Yaan una muacha sowah unaenda sajili hili garasathe worst signing to be made by Young Africans this season.. hamna kitu hapo bora Joseph Guede
Huwezi muacha sowah then ukaenda sajili hili garasaSiyo mbaya kihivyo
inashangaza kwa kweli, labda kwakuwa ni hitajio la coach ikabidi waamue kubalance foreign players spotYaan una muacha sowah unaenda sajili hili garasa
Andy Boyeli ni Mchezaji mzuri mnoYaan una muacha sowah unaenda sajili hili garasa
Yote ni majibu ....wote ni wabovu ligi ya ndani na ulaya wamefika fainali...Sasa Simba wasijifiche kufika fainali kuwa wao ni Bora ...Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madrid
Kibu misimu mitatu ana goli ngapi usilete empirijo hapa....Kibu hajawahi kumaliza msimu bila goli au kutoa assist.
Na ni miongoni mwa top scorer kwenye CAF Confederation cup.
Huyo jamaa yenu ni mechi 55 hana assist hana goli. Ni irrelevant kumfananisha na Kibu mwenye namba zinazokimbiza hadi kimataifa.
Hiyo pub bado ipo?Pamoja Sana mkuu
Karibu nzovwe pia ,maeneo ya jirani na click point walau weekend hii
Mzuri kuliko sowah?Andy Boyeli ni Mchezaji mzuri mno
Kuwa na akiba ya maneno
Huyu anakuja kumweka bench Dube kumbuka na Mzize anauzwa na Musonda ameondoka laZima viongozi wafanye replacement za maana
Jamaa mzuri kuliko sowah.Mzuri kuliko sowah?
Bas tunamuombea kwa MUNGU afanikiwe
Nitajie msimu ulioisha bila Kibu kushindwa kufunga wala ku assistKibu misimu mitatu ana goli ngapi usilete empirijo hapa....
Boyeli ni hatari kumbuka Andy Boyeli ni Mkongomani na hawa watu Huwa wana enjoy kucheza TanzaniaMzuri kuliko sowah?
Bas tunamuombea kwa MUNGU afanikiwe
Sasa ligi ya uingereza unailinganisha na ligi nyingine ambazo unakuta timu kubwa ni mbili au tatu tu na zote zinashiriki ucl ila nyingine zote ni vibonde, simba walikutana na timu kutoka kwenye ligi bora zaidi ya ligi yetu ila kuna watu kwenye hatua ya robo walikutana na mabingwa wa ligi ya nigeria eti wanajisifu, sasa ligi dhaifu kama ya nigeria ambayo hata kwenye top ten ya ligi bora africa sidhani kama ipo na timu zake zinaishia hatua za awali kimataifa hao si ni vibonde kama vibonde wengine tuYote ni majibu ....wote ni wabovu ligi ya ndani na ulaya wamefika fainali...Sasa Simba wasijifiche kufika fainali kuwa wao ni Bora ...
Jamaa mzuri kuliko sowah.
mmemuona wapi tusiongopeane...tusubiri ligi ianze tujue mbivu na mbichi😂
Zaidi ya kuwa mzawa mwenye afadhali hana lolote la ziada..Nitajie msimu ulioisha bila Kibu kushindwa kufunga wala ku assist
Mkuu mim kwa maoni yangu naona sajili kuanzia morice Hadi huyo semfuko naona ni wachezaji machachari na sio Wazuri Yan ni Yale Yale ya Kua na wachezaji wengi bila sababu maalum..akina.omar Omar wameishia wapi akina Valentino mashaka ..hapo mim najua sajili mbili tu za mwanzo ni za mwalimu...Sasa ligi ya uingereza unailinganisha na ligi nyingine ambazo unakuta timu kubwa ni mbili au tatu tu na zote zinashiriki ucl ila nyingine zote ni vibonde, simba walikutana na timu kutoka kwenye ligi bora zaidi ya ligi yetu ila kuna watu kwenye hatua ya robo walikutana na mabingwa wa ligi ya nigeria eti wanajisifu, sasa ligi dhaifu kama ya nigeria ambayo hata kwenye top ten ya ligi bora africa sidhani kama ipo na timu zake zinaishia hatua za awali kimataifa hao si ni vibonde kama vibonde wengine tu
Yawezekana mkuu ila ngoja tuone, japo hata Sowah naye nadhani ni pendekezo la Fadlu, sema kwa wazawa kupata wachezaji wazuri ni mtihani sanaMkuu mim kwa maoni yangu naona sajili kuanzia morice Hadi huyo semfuko naona ni wachezaji machachari na sio Wazuri Yan ni Yale Yale ya Kua na wachezaji wengi bila sababu maalum..akina.omar Omar wameishia wapi akina Valentino mashaka ..hapo mim najua sajili mbili tu za mwanzo ni za mwalimu...
Official sajili kante na beki ndio wa Mwalimu..hao wengine hewa sjui wa nani ...sowah kama anakuja kweli ni WA mwalimu..neo kama anakuja ni mwalimu,Yawezekana mkuu ila ngoja tuone, japo hata Sowah naye nadhani ni pendekezo la Fadlu, sema kwa wazawa kupata wachezaji wazuri ni mtihani sana