Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,008
- 9,209
Hahaha, na wanavyojua kutoa povu hii isipofika kwa waziri sijui.Timu hizi si MAADUI mkuu ..si ndivyo.wanavyotaka
Huyo Sowah ameshajilaani kama makolo walivopata laana baada ya kuingiza jeneza uwanjaniHahaha, na wanavyojua kutoa povu hii isipofika kwa waziri sijui.
Hata papaa molinga nadhani hamkumkatia tamaa🤣Kama n mkongoman basi tusimkatie tamaa mapema, ngoja tumuone akiwa uwanjan ndipo tujudge
Kuna K VAnt hapo mezani? Mbona huelewekiHuu utambulisho sowah kila akijigeuza anaonyesha tangazo la bidhaa za mo.
Oky ligi ianze, yanga achukue ubingwa coz Kwa huu usajili Simba Bado hawez kuwa bingwa na karia yanga wamemthibiti kupitia BMT, so hakuna penalty za dakika ya 80, penalty za kuokoa point tatu.
January fadlu atakuwa south, na mangungu atarudi, GSM atawatoa wazee wetu wa Simba kuhusu udhamini wa timu 10 make anaongeza mbili.
Wenye akili wameelewa au watatoa muda kujua hiki nisemacho bila matusi, ni ubashiri tu odds ni 1.4 against odds 9.6
Tupate na winga mmoja matata.ECUA atawauwa
Unaongea kama mtu aliyechanganyikiwaHuu utambulisho sowah kila akijigeuza anaonyesha tangazo la bidhaa za mo.
Oky ligi ianze, yanga achukue ubingwa coz Kwa huu usajili Simba Bado hawez kuwa bingwa na karia yanga wamemthibiti kupitia BMT, so hakuna penalty za dakika ya 80, penalty za kuokoa point tatu.
January fadlu atakuwa south, na mangungu atarudi, GSM atawatoa wazee wetu wa Simba kuhusu udhamini wa timu 10 make anaongeza mbili.
Wenye akili wameelewa au watatoa muda kujua hiki nisemacho bila matusi, ni ubashiri tu odds ni 1.4 against odds 9.6
Mchezaji wa kawaida sana ni Level za Akina Guede
Yaan hapohapo kamtaja sowah, mara akijigeuza geuza matangazo ya mo, mara karia mara BMT, mara penalty dkk 80, mara fadlu south, mangungu anarudi Sasa sijui kaenda wapi😂, mara gsm atadhamini timu 10 ..ama kweli nakubaliana na wewe kweli sindano imeingia😂Unaongea kama mtu aliyechanganyikiwa
Sababu ya Ababaaa?Huyo Sowah ameshajilaani kama makolo walivopata laana baada ya kuingiza jeneza uwanjani
Unaongea uku unatetemeka,subiri ligi ianze mtatetemeka sana na lawama kumuangushia GSMMchezaji wa kawaida sana ni Level za Akina Guede
kumbe yule jamaa alikua mkongo😄😄😄. Kweli yanga imetoka mbali na wakongo aiseeHata papaa molinga nadhani hamkumkatia tamaa🤣