Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Basi wapo kama vyura.
 
Account ya Simba SC instagram yamfollow FeiView attachment 3428040
Ni wazi wanapita na upepo huo huo ila hakuna jipya. Mara mama kapiga Simu kutoa baraka, mara ku follow account mara furaha ya usajili na furaha ya ufunguzi CHAN. Hizo zote drama kwavile wanajua mashabiki wao walivyo ndio maana waliletewa Manzoki kwenye kampeni
 
Wewe nini umemzidi yanga...yanga bingwa mara 31, wewe una ngapi??
Nmekufunga mara nyingi zaidi?? Kwann iwe mafanikio wakati ninayo...kimataifa hakuna guarantee na yanga atafika final ya club bingwa kabla Yako km alivofika final shirikisho kabla Yako....
Kwa sasa yanga ni Bora kuliko wewe labda tuone nini kinatokea msimu huu
 
mbona kama unaweweseka jombaa
 
Sasa mnawasema simba kujisifia nafasi ya tano kwenye caf ranking na kufika robo mara tano mfululizo kimataifa, wakati huo huo nanyi mnajisifia kuwafunga simba mara nyingi zaidi sasa hapo mna tofauti gani na wao, kimataifa hakuna guarantee ila kufika fainali cafcl inategemea na mentality ya timu kwa mentality yenu hii ya kuridhika kisa simba nao hawana, basi subirini tu simba wawe wa kwanza kubeba hilo kombe kisha ninyi mje mfyeke kichaka kama kawaida yenu maana ndicho mnachokiweza, fainali ya cafcc simba walishafika hata kama hamtaki kukubali hilo kwa kifupi hakuna mahali mmefika simba hajafika yani simba atabaki kuwa role model wenu hadi mwisho wa dahari
 
Huyu semfuko kutoka coastal union si DM au UNATAKA awe kacheza Kongo km wachezaji wa vyura?
 
Mbona mnateseka aisee hizo si drama tu za kutambulisha mchezaji🤣
 
Endapo Simba ikamchukua Fei, so wakawa na Mpanzu na Sowa pia, wanaweza wakatusumbua Yanga kimtindo.

Yanga tunapaswa kuhakikisha kuna namna sehemu moja hapo mzazi usikae sawa hata kwa kumchukua Mpanzu au Feisal asiende Simba.
Kuna chuma kinaitwa Neo Maema ni hatari sana baada ya Chan anatambulishwa
 
Simba hio ndio final ya kwanza kwake na CAF wali post hivyo.
Yanga amefika robo karibu aingie nusu dhidi ya mamelod...yanga watafika nusu au zaidi kabla yenu me naona hivyo.

King of Tanzania football ni Yanga
King of England football alikuwa man u lkn sasa ni Liverpool.
Spain ni Madrid.
France ni PSG

Hapo ndio ujue yanga ni kubwa sema Simba ni rivals lkn king ni yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…