Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wewe na pyramid nani anafaa kujidai manake km ranking umemzidi na robo final wewe unazo nyingi lkn yeye ana kombe.
Acha kuwa km arsenal bhana
Mbona umejikote mwenyewe au wenge la mwiko nyuma linakutesa?
 
Sasa wewe hayo makombe 31 umewahi kuyafikia!?? au ranking ni kikombe !?? Bado unaona upo sahihi kujidai Kwa ranking??
Sa hii huzitaki mbichi hizi za rank unaona hazina umuhimu kwa Club kama kombe la NBC?

Kombe lako la 31 limeingizia Club kiasi gani na walipofika Simba kimataifa Club imepata kiasi gani?
 
Sa hii huzitaki mbichi hizi za rank unaona hazina umuhimu kwa Club kama kombe la NBC?

Kombe lako la 31 limeingizia Club kiasi gani na walipofika Simba kimataifa Club imepata kiasi gani?
Mwehu huyo anateswa na supu ya ngamia ila kule utopoloni kuna vijana wajinga sana sampuli ya yule alielia kwenye harusi ya ali kamwe ๐Ÿšฎ
 
Reactions: Tsh
Yani umeulizwa useme kipi ambacho yanga wanacho simba hawana, au wapi yanga wamefika simba hawajafika, we unaishia kuleta ngonjera
 
Reactions: Tsh
Hamna kitu hapo ..penye ukweli tutasema ...itakua wa ten pasenti wamegawana wachezaji na kocha...
Ngoja tumuone uwanjani mkuu maana youtube inatudanganya sana, huenda ikawa mali safi kwahyo usimkatie tamaa mapema
 
Yule jamaa alikuwa analia nini? Wazazi wake watakuwa waliona aibu mno kama walikuwepo au waliona.
Sampuli ya nalia ngwena na na ngara shenzi kabsa vijana wa uto ๐Ÿšฎ
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ