hamnamo mtu humo, hiyo ni miongoni mwa Mbuzi zitazomfukuzisha Eminem[Romain Folz]View attachment 3430178
Kama nilivyoripoti awali
Una mihemko sana.hamnamo mtu humo, hiyo ni miongoni mwa Mbuzi zitazomfukuzisha Eminem[Romain Folz]
huyo Mudi Doumbia ni Bigirimana mpya. kama ilivyo pale Simba wameleta Somba somba Onana mwingine kutoka KenyaUna mihemko sana.
Sawa ngoja tuonehuyo Mudi Doumbia ni Bigirimana mpya. kama ilivyo pale Simba wameleta Somba somba Onana mwingine kutoka Kenya
🤣hamnamo mtu humo, hiyo ni miongoni mwa Mbuzi zitazomfukuzisha Eminem[Romain Folz]
Aisee Simba na Yanga umezichukulia serious sana kiasi kwamba mpaka unaumizwa na mambo madogo madogo kama hayo.Hichilema mkuu hii inaakaaje hii kua media puppet wa yanga eeti.anajipiga picha na wakala wa mpanzu ..eti tumeongea mengi...sjawah kuona watu wapumbavu kama watu wa yanga..
Mwingine mpumbavu eti anamloga sowah..kua msimu huu.hatafunga zaidi ya goli 3, nakuambia Yuko na chetezo na ubani sijui na matakataka Gani eti anachoma karatasi iliyoandikwa jina la sowah...nimeishia kucheka kama si kushangazwa na ujinga na upumbavu wa hii timu inaitwa yanga na watu wake
Duuuh yani we jamaa unachukulia Simba na Yanga kama maishaHichilema mkuu hii inaakaaje hii kua media puppet wa yanga eeti.anajipiga picha na wakala wa mpanzu ..eti tumeongea mengi...sjawah kuona watu wapumbavu kama watu wa yanga..
Mwingine mpumbavu eti anamloga sowah..kua msimu huu.hatafunga zaidi ya goli 3, nakuambia Yuko na chetezo na ubani sijui na matakataka Gani eti anachoma karatasi iliyoandikwa jina la sowah...nimeishia kucheka kama si kushangazwa na ujinga na upumbavu wa hii timu inaitwa yanga na watu wake
Siwezi kuumizwa na ushamba na upungufu wa akili wa puppet hao wa yanga ..kamwe ...Bali naendelea kushangazwa kama si kuchekeshwa na ujinga wa puppets wa yanga.Aisee Simba na Yanga umezichukulia serious sana kiasi kwamba mpaka unaumizwa na mambo madogo madogo kama hayo.
Nani Sasa kamdhihaki?Kama unaijua hilo unamdihaki vipi Bajaber kuwa hajui!?? Kuwa mmepigwa!??
yule puppet wa vyura fc amethibitisha kuwa ataenda kuungana na wenzie misriHichilema Kwan inshu ya mpanzu imekaaje mdau
Mpuuzi sana yule mjinga ...kama anaitaka kazi ya kamwe si aende akampigie magoti injinia wa mchongo ampe kazi ...yule puppet wa vyura fc amethibitisha kuwa ataenda kuungana na wenzie misri
Tunaopenda soka haya mambo ni ushamba,tunataka kuona uwezo wa mchezaji na siyo kumkwamisha na matunguli,mpenda soka huwa anasema ukweli,mi Simba ila nilikuwa namkubali Mayele kwa uwezo wake,ni ujinga kuwaombea wachezaji mabaya wakati mpira ni fair play mwenye uwezo ndo anayetuletea rahaHichilema mkuu hii inaakaaje hii kua media puppet wa yanga eeti.anajipiga picha na wakala wa mpanzu ..eti tumeongea mengi...sjawah kuona watu wapumbavu kama watu wa yanga..
Mwingine mpumbavu eti anamloga sowah..kua msimu huu.hatafunga zaidi ya goli 3, nakuambia Yuko na chetezo na ubani sijui na matakataka Gani eti anachoma karatasi iliyoandikwa jina la sowah...nimeishia kucheka kama si kushangazwa na ujinga na upumbavu wa hii timu inaitwa yanga na watu wake
Huyu ni nani ?na hii ishu ya Fei mbona bado sielewi
Timu ya Yanga umewaona wapumbavu kisa kumshawishi Mpanzu kuvunja mkataba, wakati huo huo umesikia viongozi wa Simba wamemshawishi Fei toto kuvunja mkataba ila hukuwaona ni wapumbavu. Usimba na Uyanga umekufanya ukose hata maarifaHichilema mkuu si nilikuambia ..nikisema timu ya yanga ni wapumbavu hua sikosei...
Halaf yule mwandishi puppet watakuja kumkausha tu we subiri ..
Ni wapumbavu tena wapumbavu wakubwa. Unatofautisha professionalism na kukomoa ? Simba inafanya professionalism na ni kweli mchezaji unaeona Inamtaka ni nafasi inayoitajika technically...ila wapumbavu yanga sajili hio ya mpanzu ilikua ni ya kukomoa...kama ambavyo ilitaka kua kwa kibu, chama, mkude , na Sasa tshabalala, zote hizi ni sajili za kukomoa ambazo sio za technical ..mana wachezaji mliochukua kwa mbwembwe wameondoka kimya kimya hamjawaaga mambulula wakubwa, mmewatumia kama toilet paper.Timu ya Yanga umewaona wapumbavu kisa kumshawishi Mpanzu kuvunja mkataba, wakati huo huo umesikia viongozi wa Simba wamemshawishi Fei toto kuvunja mkataba ila hukuwaona ni wapumbavu. Usimba na Uyanga umekufanya ukose hata maarifa