Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Ili nafasi yako ya 5 iwe na umuhimu, basi jua umuhimu wa aliyechukua ubingwa mara 31.Mbona sasa unarudi kuonyesha umuhimu wa timu kufanya vizuri kimataifa? Au hujui vigezo vya ligi kuwa nafasi ya juu kwa ubora Africa?
Umuhimu wa aliyechukua ubingwa mara 31 kwenye kuifanya ligi kuwa kwenye ligi bora haupimwi kwa huo ubingwa mara 31.Ili nafasi yako ya 5 iwe na umuhimu, basi jua umuhimu wa aliyechukua ubingwa mara 31.
Sijasema ubora wa ligi unapimwa na ubingwa mara 31. Pia kama nafasi yako ya 5 haikusaidii kuchukua ubingwa mbele ya uliyemzidi, na kama nafasi yako ya 5 unaishia robo kama uliyemzidi basi haina umuhimuUmuhimu wa aliyechukua ubingwa mara 31 kwenye kuifanya ligi kuwa kwenye ligi bora haupimwi kwa huo ubingwa mara 31.
Haina umuhimu kwa nani? Maana kwenye ligi tayari ina umuhimu imechangia ligi kupanda thamani Africa.Sijasema ubora wa ligi unapimwa na ubingwa mara 31. Pia kama nafasi yako ya 5 haikusaidii kuchukua ubingwa mbele ya uliyemzidi, na kama nafasi yako ya 5 unaishia robo kama uliyemzidi basi haina umuhimu
Ila hapo hapo unaona kuchukua ubingwa mara 31 kwenye ligi yenye thamani Africa, haina umuhimuHaina umuhimu kwa nani? Maana kwenye ligi tayari ina umuhimu imechangia ligi kupanda thamani Africa.
Samahani mkuu, Zimbwe ana 28?Hili la Zimbwe nakuunga mkono 💯. Zaidi ya uzushi wa kuuza Mechi àmbao ni uongo wa mchana kweupe Hakuna sababu ya Msingi ya kumuacha Zimbwe akiwa na 28yrs.
Ndio maana unajiita Extroverted IntrovertWe umechukia ubingwa mara ngapi
Onyesha kombe lolote ambalo Simba hanaBasi Simba itakua ni club ya kipekee duniani isiyo taka ubingwa wowote isipokua rankings
Simba hana kombe la NBC premier league msimu wa 2024/2025 na la CRDB FA cup. Kama unalo basi oneshaOnyesha kombe lolote ambalo Simba hana
Akili mgando hujaelewa swali rudi kasome swaliSimba hana kombe la NBC premier league msimu wa 2024/2025 na la CRDB FA cup. Kama unalo basi onesha
Haina haja kua tunalalamika Mangungu atoke kama tupo ndani ya malemngoOnyesha kombe lolote ambalo Simba hana
Huelewi unachojibuHaina haja kua tunalalamika Mangungu atoke kama tupo ndani ya malemngo
Onyesha kombe lolote ambalo Simba hana
Ingekua hivyo Real Madrid sasa hivi asingekua anacheza mshindano yoyote sababu ana kila kombe tena kwa wingiHuelewi unachojibu
🤣Akili mnemba. Hii itakua kazi ya frogs FC...
huo uchafu ni wa kuitwa jezi kweli?!, Mavi kabisaUzi wa mazoezi View attachment 3432547
yani hilo box lizibe pengo la zimbwe, Simba hawapo serious kabisa
Duh umenikumbusha mbali sana, pale Dianna palikua na malaya wengi sana sijui kama hiyo shughuli bado inaendeleaIpo mkuu.
Bado anashindana na jirani yake DIANA