Teuzi mbalimbali kujaa majina ya watoto wa viongozi na vigogo Serikalini kama taifa tunaelekea wapi?

Sidhani kama watanzania watakuelewa
 
Ndugu mswahili ni mswahili tu.
 
Kwani waliopambania uhuru na vizazi vyao mpaka yakaja matawi mengine ya wachumia tumbo kwenye mfumo wao, walifanya hivyo ili tuwalipe kwa madaraka yasiyo na ukomo na kujilimbikizia mali nyingi wao tu na koo zao mpaka mwisho wa dunia?
Cha msingi tusilalamike. Tupambane ili tuwatoe walipo nasi tufaidi. Tukilalamika bila kupambana tutaendelea kuwa walalamikaji wa kudumu....

Wao walimtoa mkoloni mweupe, kazi kwetu kumtoa mkoloni mweusi
 
Baba zao waliwekeza huko?
Mbona hamlalamiki kitendo cha watoto wa wachezaji na makocha kuwa wachezaji? Mbona hamlalamikii watoto wa wavuvi wanapikuwa wavuvi? Watoto wa waoiga kura na wao wanapokuja kuwa wapiga kura?
 
Cha msingi tusilalamike. Tupambane ili tuwatoe walipo nasi tufaidi. Tukilalamika bila kupambana tutaendelea kuwa walalamikaji wa kudumu....

Wao walimtoa mkoloni mweupe, kazi kwetu kumtoa mkoloni mweusi
"Tupambane hili tuwatoe...." hatupambani tuwatoe ili tukae sisi haitoleta tofauti yeyote, bali tunatakiwa kuubadili mfumo unaowatengeneza hawa wachache ukome hili mfumo huo ufanye kazi dhidi ya maslahi ya wengi tunaotaabika.
 
Bana zao waliwekeza huko?
Mbona hamlalamiki kitendo cha watoto wa wachezaji na makocha kuwa wachezaji? Mbona hamlalamikii watoto wa wavuvi wanapikuwa wavuvi? Watoto wa waoiga kura na wao wanapokuja kuwa wapiga kura?
Kila jambo lina miiko yake ikiwemo uongozi si nguo kila mtu avae kisa tu ni mtoto, ndugu au shemeji wa kiongozi mwenye mamlaka basi anatakiwa kufanya anavyotaka.
 
Kubalini tu ukweli kwamba keki ya taifa haiwezi kumtosha kila mtu.
Keki ya taifa ni kubwa na inaweza kumtosha kila mtu kutegemeana na eneo lake la kuchumia riziki yake lilivyoandaliwa..mfano kuna haja gani ya kujilipa mshahara wa bilioni na marupurupu kadhaa na bado ufanye upigaji wa pesa za umma ndani ya taifa masikini ambalo lina watu wanaofanya vibarua kutwa hili walipwe si hata kwa thamani ya pesa bali kwa kula chakula tu kwa mwajiri?
 
Kila jambo lina miiko yake ikiwemo uongozi si nguo kila mtu avae kisa tu ni mtoto, ndugu au shemeji wa kiongozi mwenye mamlaka basi anatakiwa kufanya anavyotaka.
WAzazi wao waliwaandaa mapema, pia miiko haijakataza hilo ndiyo maana wapo hapo
 
Watoto wa viongozi hawaruhusi kuwa viongozi? Hawana uwezo?
 
Watoto wa viongozi hawaruhusi kuwa viongozi? Hawana uwezo?
Sitokujibu moja kwa moja ila naomba utafakari hili; Huyo marehemu unayemuenzi kwenye avatar yako aliwahi kuimba nipeni dili.."

Matokeo yake kutokana na mfumo corrupt tunaouzungumzia hapa ulikatisha ndoto za kijana huyu masikini aliyetamani siku moja kuwa na kipato kizuri.

Alijikuta yeye na wasanii kadhaa wakigeuzwa vitega uchumi vya uuzaji na usambazaji ngada mpaka pale mauti yalipomfika na siyo yeye tu bali tumeshapoteza nguvu kazi kubwa ya vijana wa taifa hili kwa upuuzi huu huu wakuendekeza mambo ya ovyo.
 
Lakini si tulisema sisi kujipendekeza hatuwezi kudanganya ovyo hatuwezi kufanya vijembe na kuroga mikutano ya vyama shindani si hatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…