EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Na yeye pia anasikia kama sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msemaji yupo kimya page yake insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yeye pia anasikia kama sisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msemaji yupo kimya page yake insta
Gondwe KinondoniJokate DC Temeke
mm nataka kuona JOJO atatupwa wapi au atabaki pale pale kwa wakwere na wazaramo wa kisajuKimuhemuhe cha nini
Ma DC matumbo jotooooo Wanaanza kustaa kabla ya umri[emoji1787][emoji1787]Utoke tu watu waangalie majina yao, nafasi mpya za ajira ambazo hazina application wala interview, sifa ya kazi ni mapenzi ya mtawala kwa mteuliwa.
Hausomeki acha kudanganya[emoji1][emoji1][emoji1]
Mrembo kama yule ni kosa kumuweka porini kule hahaahaha...Joketi kapelekwa Temeke, mliokua mnamsagia kunguni na yule chizi mwenzenu twitter aibu kwenu
Hongera mkuuKumbe na mm mama kaniona, kazi iendeleee
[emoji44][emoji44][emoji44]Jokate DC Temeke
Fatma Nyangasa- Kigamboni,Abdalla Mwaipaya-Mwanga,Albert Msando-MorogoroJoketi kapelekwa Temeke, mliokua mnamsagia kunguni na yule chizi mwenzenu twitter aibu kwenu
[emoji28][emoji28][emoji28]Watu walikuwa roho juu kusubiri hiyo taarifa toka miezi miwili iliyopita, leo walale sasa.
eh ! kama kweli basi mama kakosea ,..JoJo ni transformational leader anafaa sana akipelekwa remote areas hasa jwenye changamoto za watoto kupata ZERO ..angentupia ata wilaya ya masasi, Newala, Nachingwea ingekuwa poa sanaa angesaidia kuinua elimu kusiniJoketi kapelekwa Temeke, mliokua mnamsagia kunguni na yule chizi mwenzenu twitter aibu kwenu
Hajatupwa, kahamishiwa Temekemm nataka kuona JOJO atatupwa wapi au atabaki pale pale kwa wakwere na wazaramo wa kisaju