TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Utoke tu watu waangalie majina yao, nafasi mpya za ajira ambazo hazina application wala interview, sifa ya kazi ni mapenzi ya mtawala kwa mteuliwa.
Ma DC matumbo jotooooo Wanaanza kustaa kabla ya umri[emoji1787][emoji1787]
 
Joketi kapelekwa Temeke, mliokua mnamsagia kunguni na yule chizi mwenzenu twitter aibu kwenu
eh ! kama kweli basi mama kakosea ,..JoJo ni transformational leader anafaa sana akipelekwa remote areas hasa jwenye changamoto za watoto kupata ZERO ..angentupia ata wilaya ya masasi, Newala, Nachingwea ingekuwa poa sanaa angesaidia kuinua elimu kusini
 
Back
Top Bottom