TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Sawa tusubirie tuone namna CCM watakavyokubali kuunda Tume huru ya uchaguzi yenye uwezo wa kuwafurahisha Chadema.

Usisahau kuwa kuna tofauti kubwa baina ya kuunda tume huru na kukubali kuunda tume huru.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu kwani Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mwanaye Rais wa sasa wa Zanzibar kiasili wanatoka sehemu gani ya JMT? Wote asili yao ni Mkuranga, hata katika kitabu chake cha biografia alichokiandika hivi karibu, Mzee Mwinyi anakiri kilichompeleka Zanzibar ilikuwa ni kupata elimu ya kidini.
 
Ali .H. Mwinyi alikulia na kusomea huko, na baadae aliukana utanganyika na kuamua kuwa mzazibar kabla ya Zanzibar kujiunga na Tanganyika.

Husein Mwinyi yeye kazaliwa, kakulia na kusomea Zanzibar, japo ameunga unga elimu yake na hapa bara pia aliamua kuufuata uraia wa kuchagua wa baba yake.

Kwahiyo hao hauwezi kuwalinganisha na wazanzibar wanaotolewa Zanzibar leo kuja kuongoza wilaya au mikoa hapa na wakati kuna wenyeji wenye vigezo vya kuongoza hizo nafasi.
 
In politics, hatutupani,, lazima tulindane… mama kumteua siyo justification kua hakua favoured enzi hizo… kuna mengi usiyoyajua!

Umejuaje kuwa hakua favoured enzi hizo?? Haya, wewe unayujua mengi yapi sisi tusiyoyajua!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…