Sawa tusubirie tuone namna CCM watakavyokubali kuunda Tume huru ya uchaguzi yenye uwezo wa kuwafurahisha Chadema.
Usisahau kuwa kuna tofauti kubwa baina ya kuunda tume huru na kukubali kuunda tume huru.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tusubirie tuone namna CCM watakavyokubali kuunda Tume huru ya uchaguzi yenye uwezo wa kuwafurahisha Chadema.
Mkuu kwani Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mwanaye Rais wa sasa wa Zanzibar kiasili wanatoka sehemu gani ya JMT? Wote asili yao ni Mkuranga, hata katika kitabu chake cha biografia alichokiandika hivi karibu, Mzee Mwinyi anakiri kilichompeleka Zanzibar ilikuwa ni kupata elimu ya kidini.Mawaziri waliopo katika serikali ya Zanzibar na ambao unadai kuwa ni watanganyika ni wepi mbona hauwataji majina japo watatu au wawili tu. Kama mtanganyika kupata tu kiwanja Zanzibar ni vigumu inakuwa vipi iwe rahisi kuupata uwaziri? Mleta mada unatakiwa kutushukuru sisi watanganyika kwa kuwa na moyo wa utu, uvumilivu na upendo. Laiti ingekuwa ni swala la jino kwa jino yani kulipiza kila mnalotufanyia, naamini huu muungano ungekuwa ushasambaratika.
Ali .H. Mwinyi alikulia na kusomea huko, na baadae aliukana utanganyika na kuamua kuwa mzazibar kabla ya Zanzibar kujiunga na Tanganyika.Mkuu kwani Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mwanaye Rais wa sasa wa Zanzibar kiasili wanatoka sehemu gani ya JMT? Wote asili yao ni Mkuranga, hata katika kitabu chake cha biografia alichokiandika hivi karibu, Mzee Mwinyi anakiri kilichompeleka Zanzibar ilikuwa ni kupata elimu ya kidini.
Binti alifaa apelekwe kwenye wilaya za Tanga au Lindi uko akawaamshe ki-elimu maana hiyo kazi anaoneka kuiweza kiasi chake kwa nafasi na exposure aliyonayo.
In politics, hatutupani,, lazima tulindane… mama kumteua siyo justification kua hakua favoured enzi hizo… kuna mengi usiyoyajua!
Chalinze sio wilaya kaka!Hii ni sehemu ya mkeka, kwa mkoa wa Pwani sijaona wilaya ya Chalinze, je imesahaulika?
Chonde chonde Mh Rais nipo hapa nina sifa katika nafasi hiyoView attachment 1824910View attachment 1824913View attachment 1824914
😳 Ni kitu gani kile ?.Chalinze sio wilaya kaka!
Ni nini? Kata? Tarafa? Ipo Wilaya gani?Chalinze sio wilaya kaka!
Hapo kwenye jengo la utawala limeandikwa CHALINZE DISTRICT COUNCIL( Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze). Hii imekaaje kama sio wilaya?Wilaya ni Bagamoyo Ila halmashauri zipo mbili chalinze na Bagamoyo
na ni mtanzaniaChalinze siyo wilaya.
Mm pia nina sifa kibao za kuwa mkuu wa wilaya, napatikana hapa Nakapanya.
Hapo kwenye jengo la utawala limeandikwa CHALINZE DISTRICT COUNCIL( Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze). Hii imekaaje kama sio wilaya?
Chalinze siyo Wilaya bali ni Halmashauri. Nahisi Maana ya Wilaya na Halmadhauri ndiyo vinakuchanganya.Hapo kwenye jengo la utawala limeandikwa CHALINZE DISTRICT COUNCIL( Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze). Hii imekaaje kama sio wilaya?
Ziko wilaya zina halmashauri mbili mbili mfanoHapo kwenye jengo la utawala limeandikwa CHALINZE DISTRICT COUNCIL( Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze). Hii imekaaje kama sio wilaya?