TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Kwa mnaokumbuka Itv jackpot bingo wale wadada warembo wa mujini walikuwa wanchezesha ile bahato nasibu ya mzee Mengi kama kina Teddy kalonga basi alikuwepo huyu Dc mpya ambaye kama mwaka mmoja nyuma alikuwa ameshinda miss Tanzania anaitwa Basilla mwanukuzi..
Na ndio DC sasa,

Tanzania nchi yangu.
 
Hii nchi kupiga hatua ni mpaka pale tutapota katiba mpya na CCM kuondolewa madarakani na wapiga kura.

Vituo hivi:

Screenshot_20210620-183126_Twitter.jpg
 
Hii nchi kupiga hatua ni pale tu tutapota katiba na CCM kuondolewa madarakani na wapiga kura.

Vituo hivi:

View attachment 1824714

Tulipo tunahitaji katiba mpya kuliko wakati mwingine wowote. Na huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

Ukiacha baadhi ya waungo mkono juhudi, waliobaki wengi ni form 4 kisha wakasoma Certificate na baadae Diploma leo wamekuwa watawala.

Huu ni muda bora zaidi kwa Chadema kuongoza jitihada za kudai katiba mpya kwani wamedhamiria, wana nia na wako organized.

Jukumu hili haliwezi kuwa haphazard.
 
Ukiacha baadhi ya waungo mkono juhudi, waliobaki wengi ni form 4 kisha wakasoma Certificate na baadae Diploma leo wamekuwa watawala.
Kwani kinacho ongoza ni ni cheti au mtu? Ondokaneni na mawazo ya kijinga na ya kitumwa hayo , hao wenye master degree na phd si ndio wanatumbuliwa kila siku kwa kufanya vioja vya ajabu kabisa .
 
Usilaumu kwa sababu hizo nafasi hazina qualification, miaka yote zipo kwa ajili yao kupoozana, na Samia sio wa kwanza, na ninaamini kama tusipopata Katiba Mpya hatakuwa wa mwisho kuwabeba awapendao, watamfuata marais wengine.
 
Kwani kinacho ongoza ni ni cheti au mtu? Ondokaneni na mawazo ya kijinga na ya kitumwa hayo , hao wenye master degree na phd si ndio wanatumbuliwa kila siku kwa kufanya vioja vya ajabu kabisa .

Hata Msukuma anasema kama wewe mkuu. Wengine wako hapa:

Katiba mpya haiwezi kupatikana kwa kupiganiwa na CHADEMA.

Mkuu hata Bashiru, Pole pole, Majaliwa na hata Mataga wakereketwa wanaihitaji katiba mpya. Anatakikana mratibu tu wa shughuli hii. Hayuko bora kuliko Chadema kwenye hili kwa sababu zilizoorodheshwa kwenye uzi huu hapa chini:

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwenye kudai katiba mpya binafsi namuamini zaidi yule askofu kuliko Chadema na genge lao la wahuni.
Wananchi kawaida tunataka katiba mpya iondoe huu upuuzi tena haraka lakini Chadema ni CCM-B so hawana jipya Zaid ya kuendekeza matumbo mpaka kusalitiana
 
Back
Top Bottom