Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Na ndio DC sasa,Kwa mnaokumbuka Itv jackpot bingo wale wadada warembo wa mujini walikuwa wanchezesha ile bahato nasibu ya mzee Mengi kama kina Teddy kalonga basi alikuwepo huyu Dc mpya ambaye kama mwaka mmoja nyuma alikuwa ameshinda miss Tanzania anaitwa Basilla mwanukuzi..
Tanzania nchi yangu.