Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
👍👍Atakuwa Yuko vizuri upstairs kupewa nafasi Kama hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Atakuwa Yuko vizuri upstairs kupewa nafasi Kama hiyo
Ni kwamba kusoma hamjui?Na Nikki wa pili ni wa wapi?
Uhuni mbele ya pesaa, au nataka arudi kitaa Ili muendelee kusugua bechi pamoja?Huyu mkuu wa wilaya ya kisarawe mbona anatuaibisha wahuni wa chuga
Mwanaume unaitwaje mkuu wa wilaya ya kisarawe aiseeeee?
Kweli ukitaka kumficha kitu mwafrika basi weka katika maandishi....ha ha ha 🤣🤣Ni kwamba kusoma hamjui?
Huko Kigoma ngoma ni maafisa wa jeshi tu, ukiondoa Kigoma mjini kwingine kote ni maafisa jeshi.
Wema lini?Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
Hii jF bwana[emoji23]Nashtuka kutoka kupumzika naona simu yangu sms kibao kila mahali hadi nikashtuka kuna nini?
Kumbe kuna kacheo uchwara nimeshatupiwa humu. Mama mimi na udisii wapi na wapi? Hiyo nafasi yangu mpe mtu mwingine maana wala hata sitajisumbua kwenda huko. Yani wala hata siwazi achilia mbali kupeleka kwato zangu huko.
Umeona bavicha walivyonuna?Umetiki.
Mama kaniudhi sana kwanini anamteua Lijuakali anamwacha Lisu?Am not suprised ! Vituko viendelee CCM ni ile ile..
🤣🤣Mama kaniudhi sana kwanini anamteua Lijuakali anamwacha Lisu?
Hajui kama sisi bavicha tuna aleji na kina Lijuakali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angemchagua mwendazakeMama kaniudhi sana kwanini anamteua Lijuakali anamwacha Lisu?
Hajui kama sisi bavicha tuna aleji na kina Lijuakali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
6M.
Huyo Jerry hana lolote sifa tu zimemjaaSingida