TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
Wema lini?
 
Nashtuka kutoka kupumzika naona simu yangu sms kibao kila mahali hadi nikashtuka kuna nini?
Kumbe kuna kacheo uchwara nimeshatupiwa humu. Mama mimi na udisii wapi na wapi? Hiyo nafasi yangu mpe mtu mwingine maana wala hata sitajisumbua kwenda huko. Yani wala hata siwazi achilia mbali kupeleka kwato zangu huko.
Hii jF bwana[emoji23]
 
Am not suprised ! Vituko viendelee CCM ni ile ile..
Mama kaniudhi sana kwanini anamteua Lijuakali anamwacha Lisu?

Hajui kama sisi bavicha tuna aleji na kina Lijuakali?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom