TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Naona Dar imekabidhiwa ITV Radio One,
Na kigoma ikakabidhiwa Jeshi!
 
Mwendazake alisema alikua akipewa m11 kama sikosei, akasema ipunguzwe akawa anapewa m9 (according to yeye) sa sijui kweli make nae alikua muongo muongo
Liongo lile limarehemu. Yaani mbunge avute 11-13M halafu yeye avute 9M angekubali alivyokuwa mbinafsi vile?
Ndugai mwenyewe na Jaji mkuu wanacheza 25M+...
 
Huyo juma chikoka so ndio Yule chopa mchopanga wa bongo muvi mwenye macho makubwa[emoji1]
 
Hongera sana mhe. Rais Mama Samia kwa uteuzi makini, hakika umetuteulia viongozi hodari na makini sana.
Uteuzi uko vizuri sana tena sana.
sasa kazi iliyo baki ni kulijenga Taifa letu lisonge mbele.
 
Maingizo mapya ya Samia nimeyaelewa, tasnia ya habari inaonekana ina kismati sana kwenye hizi nafasi. A. Mwaipaya, Fatma Nyangasa both from ITV/Radio One.

Huko Kigoma ngoma ni maafisa wa jeshi tu, ukiondoa Kigoma mjini kwingine kote ni maafisa jeshi.
Nimemwelewa sana mama kuweka maafisa wa jeshi huko, same na kwa wakuu wa mikoa.
 
Hongera kwako, Dada yetu Jokate, Mama amekuamini tafadhali onyesha uwezo wako kama ulivyowaonesha Kisarawe. Wana TMK tunakusaport.
Mapema saana isee, bado kuapishwa...tunamtarajia apelekwe mlele/tanganyika/chato, au humfahamu mama nini kwa kubadiri gear angani😜! Jokate kwa ujapakazi wake anafaa zaidi kupelekwa kuinua wilaya changa... ofcourse na mimi nitamfuata atiiiiiih 😜!
Kumuweka temeke ni matumizi mabaya ya resourse😜, hey mama SSH stuka basi nasi tunahaki na Jokate pléeeeeeese🙏!
 
Back
Top Bottom