King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umenishawishi nimfatilie huyo bibie comments zaidi ya 4 zikimpongeza
Namuona Mkimya sana wala hana makuu kabisa,hajawahi kuwa na scandal ingawa ni maarufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenishawishi nimfatilie huyo bibie comments zaidi ya 4 zikimpongeza
Liongo lile limarehemu. Yaani mbunge avute 11-13M halafu yeye avute 9M angekubali alivyokuwa mbinafsi vile?Mwendazake alisema alikua akipewa m11 kama sikosei, akasema ipunguzwe akawa anapewa m9 (according to yeye) sa sijui kweli make nae alikua muongo muongo
Okay sawa, sijui chochote kuhusu yeye zaidi ya kumuona ona kwenye bongo movie akiigiza mlinzi wa getini chizi chizi, rafu rafu....Wanaomjua Chopa pamoja na ushawishi wake kwa wasanii wenzake....ila jamaa yuko smart "upstairs".....
#KaziInaendelea
Alisema atamteua mtanzania yeyote mwenye sifaAlbert msando kaupata Vipi uteuzi kutoka ccm?
😀😀😀😀😀Vitasa vya kutosha 4-2
Nimemwelewa sana mama kuweka maafisa wa jeshi huko, same na kwa wakuu wa mikoa.Maingizo mapya ya Samia nimeyaelewa, tasnia ya habari inaonekana ina kismati sana kwenye hizi nafasi. A. Mwaipaya, Fatma Nyangasa both from ITV/Radio One.
Huko Kigoma ngoma ni maafisa wa jeshi tu, ukiondoa Kigoma mjini kwingine kote ni maafisa jeshi.
😂😂😂😂😂😂😂 Mbavu zangu....Liongo lile limarehemu. Yaani mbunge avute 11-13M halafu yeye avute 9M angekubali alivyokuwa mbinafsi vile?
Ndugai mwenyewe na Jaji mkuu wanacheza 25M+...
Kihongosi kahamishwaMwingine ambaye kibarua chake kimeota "nyasi" ni yule DC "mjivuni" wa Arusha, Bwana Kihongosi[emoji3]
Mapema saana isee, bado kuapishwa...tunamtarajia apelekwe mlele/tanganyika/chato, au humfahamu mama nini kwa kubadiri gear angani😜! Jokate kwa ujapakazi wake anafaa zaidi kupelekwa kuinua wilaya changa... ofcourse na mimi nitamfuata atiiiiiih 😜!Hongera kwako, Dada yetu Jokate, Mama amekuamini tafadhali onyesha uwezo wako kama ulivyowaonesha Kisarawe. Wana TMK tunakusaport.
Leta link ya post yangu hata moja niliyomsifia mama yenu nyie MATAGAMbona kila siku unademka humu kwamba mama yuko vizuri?
Mbona kila siku unademka humu kwamba mama yuko vizuri?
Amepelekwa wapi mkuu?Amehamishwa yumo
Twitter inalipa.Weusi wametoa Mtu ..