TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
Daa sijui nisemeje nashukuru mama namie ameniona .

Am kidding bear it your amygdala brain not in your cortex brain
 
Leo hawatapata usingizi na kesho wataliamsha la matusi.Walidhani ccm imelala. Nassari alishaomba ajira tangu kipindi cha kampeni mwendazake alimuahidi.
Sasa hivi yanaugulia maumivu!


Mama amejua sana kunikomeshea haya majama leo
 
Wanaojua hebu tupia hapa.
Hivi mishahara yao inaweza kuwa ngapi
Ukitizama waliokuwa juu na wamepewa hizo teuzi imekaaje hii.
 
Utoke tu watu waangalie majina yao, nafasi mpya za ajira ambazo hazina application wala interview, sifa ya kupata ajira ni mapenzi ya mtawala kwa mteuliwa, unaweza pewa kwa sura/sauti nzuri uliyonayo, au ukose kwa sura/sauti mbaya uliyonayo.
Ila naona kuna kasoro na hizi teuzi, sijui ni vigezo vipi vinatumika mimi nilidhani wakuu wa wilaya wangekuwa wanatoka kwenye sekta ya utumishi wa umma na hii ingeaidia kwanza kuwa kama motisha kwa wateule na pia ingesaidia kupunguza matatizo ya wateuli ambao hawajui hata miongozo ya utumishi serikalini na ingesaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima kati ya ofisi ya mkuu wa wilaya na wafanyakazi wa sekta ya utumisihi wa umma, nimeona kuna wateule wengine ni wana mitindo, wengine watangazaji kwenye radio/runinga, wengine wafanyabiashara za salon. nadhani umefika wakati wateuliwa wa hizi nafasi wawe ni watumishi wa umma badala ya sasa ambao kuna wateuliwa wengine ni wa mashaka mashaka, tusije rudi kule kule kwa akina Ole sazuri
 
Wanaojua hebu tupia hapa.
Hivi mishahara yao inaweza kuwa ngapi
Ukitizama waliokuwa juu na wamepewa hizo teuzi imekaaje hii.
Japo si muhimu bt atlist tujue[emoji1]
Isije ikawa mama etu anatoka Azam kwenda huko asipate lolote
 
''Hatari kubwa'' hivi kweli kuna tija ya haya yanayoendelea? Ni lini kazi itaendelea? Ngoja ''Bretton Woods'' wamtolee uvivu ndio atafahamu zipi ni mbivu.
 
Back
Top Bottom