TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Mashinji anazidi kuzalilishwa tu
Hakuzalilishwa mh.Batilda Buriani kuteuliwa kuwa RAS na baadaye RC kutoka kuwa WAZIRI NA BALOZI WA SERIKALI ZILIZOPITA......

Mh.Rais ni AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na anapokutuma kazi ujue umetumwa na BOSI WAKE MKUU WA MAJESHI YA ULINZI......

#KaziIendelee
 
Huu mchezo hauhitaji hasira kuna watu walidhani kifo cha Magufuli ni mafanikio yao walijidanganya sana kinyume chake imekuwa kweli. Magufuli aliibua wapinzani waliokimbilia ng'ambo kwa uanaharakati wa uongo

Yaani mama ameamua kuimalizia CHADEMA hakuna namna CHADEMA tena itaibuka yaani imeshazama kabisa na inapiga piga miguu

operesheni yao ya haki mama anaifanya kwa Vitendo
 
Kinachotakiwa waje na tume huru. Hayo mengine mbwembwe tu. Watu wanavyo vichinjio vyao vimetulia,na hasira kifuani.
 
..mama afanye kazi zake za URAISI.

..wanaotakiwa kuhangaika na CDM ni watendaji wa chama / CCM.

..CCM nao ikiwapendeza waanzishe operesheni HAKI kama walivyofanya CDM halafu wananchi tutapima upande upi unatufaa.
 
Sepetu hana ushawishi wowote wa kuteuliwa kuongoza mahali popote
Huyu mpumbavu na mama yake si walijiharibiaga kwa kuhamia chadema na kuinanga CCM. Wakataka vunjiwa nyumba wakarudisha matako nyuma 😅😅😅 na kujidai wamerudi CCM! Wema angekuwa na akili timamu na ushawishi alionao angekuwa na privilege kama Jokate sababu baba zao walikuwa kwenye system ila akili ndio hana .
 
Haahaa ukuu wa wilaya Ni sehemu ya kuifilisi hazina ya nchi bila jasho...

Haahaa, siasa ndo eneo pesa ya nchi inapotafunwa, mama anatoa ajira kwa makada vijana...
Hahahah raha sana unalala na raum unaamkia kwenye V8 yenye king’ora pamoja na mabodyguard wawili 😅😅😅
 
Back
Top Bottom