Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😂😂😂😂😂wakuu yule jamaa aliyegombeaga ubunge na ndugai kisha akapigwa rungu na ndugai na kuzimia,kisha kumpooza ccm wakampa ukuu wa wilaya ya meatu.
naona kwenye teuzi hayupo,kapewa kitengo gani?
anaitwa dkt chilongani!