TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Ukiwa dpp ukiwa maskini basi hiyo ni uzembe wako!

Ova
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Akague miradi kwani kazi ya Mawaziri ni nini?
 
... hata mimi sijasikia lakini ndio hivyo ni Jaji wa High Court. Mambo mengine sio lazima umma ujulishwe Mkuu hasa kama sio mdau wa tasnia hizo.
Ni Jaji Kiongozi

Second Authority at the Judiciary of TANZANIA after Chief Justice
 
Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Sasa hapo kakomolewa au kapandishwa cheo?
 
Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumu
Mbona bavicha wenzio wanashangilia?
 
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.

Hata yule aliyekula chake akaingiza nolle prosequi kwa wale wasomali wa Moshi walioburuza mtu na gari.

Hii inaitwa ‘kicking ass upstairs’
 
Sasa nmegundua shida yako ilipo,!

Nlifikri unamshangilia mama kwa makusudi kumbe nilikuwa nakosea.
 
mala ngapi ndio nini. hivi kuandika ni issue kutoa hoja utaweza kweli
 
DPP ni mmoja tu, majaji ni wengi..
U-DPP ni noma
 
Huyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa
Ni mchakato mrefu pia katiba inamlinda DPP. Hivyo mfano DPP angetofautiana na utashi wa mwendazake dawa ni kumpandisha cheo.

Pia rais ukiona huridhishwi na mwenendo wa DPP pia njia rahisi ni kumpandisha cheo.

Kwa nchi za Madola wadhifa huu wa DPP ni wenye nguvu sana kikatiba ktk nchi za Jumuiya za Madola / Commonwealth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…