TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Kunywa maji yenye limao utapata ahueni ewe mchato
 
... shukrani kwa elimu nzuri. It is the only title ukiboronga namna pekee ya kukuondoa ni kukupandisha cheo! Ndio maana DPP's wamekuwa na viburi vya ajabu nchi hii.
 
Kuna masahihisho au marekebisho Mhimili wa Mahakama hususan uendeshajiwa kesi? Maana Manaibu Msajili wa Mahakama karibu Kanda zote wamepanguliwa...
 
Makapi ya Mwendazake yanatupiwa sehemu ili yasahaulike Kama Polepole na Bashiru na sasa Buswelu Mganga
 
Huyu alikuwa zaidi ya shetani
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Mama anaamini watu wanaomsadia ni watu wazima na Wana Akili why akazindue miradi ambayo ipo Hata kwenye level ya kuzinduliwa na mkuu wa mkoa,wilaya ,mkurugenzi au waziri, ? Uongozi ni pamoja na kurasimisha madaraka wewe unabaki kufanya check and balance,penye mapungufu na kuelekeza so Kama mtendaji anaona hawezi anasema na kusaidiwa,
Sasa nyie mwataka akazindue na vyereani?
 
Hayo ndio huwa yapo akilini mwenu ?, pathetic!
 
Hongera Mama Samia. Munhu akulinde, akujalie hekima na akuongoze.

Unafanya vema kuwaondoa washirika wa ibilisi kutoka mbele na kuwarudisha nyuma.

Bwana wetu Yesu Kristo Masiha, alipomwona Petro hayawazi ya Mungu, alimwambia, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

Hawa akina Maganga, Sambaya, Chalumila, na wenye kufanana na hao, waende nyuma, kwa maana mioyo na akili zao zinawaza uovu.
 
Good riddance!
 

Naona Mama Samia kitabu kimeanza kumuingia
 
Kumbe hata wana CCM aliwakwaza huyu bwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…