TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Kunywa maji yenye limao utapata ahueni ewe mchato
 
Ni mchakato mrefu pia katiba inamlinda DPP. Hivyo mfano DPP angetofautiana na utashi wa mwendazake dawa ni kumpandisha cheo.

Pia rais ukiona huridhishwi na mwenendo wa DPP pia njia rahisi ni kumpandisha cheo.

Kwa nchi za Madola wadhifa huu wa DPP ni wenye nguvu sana kikatiba ktk nchi za Jumuiya za Madola / Commonwealth.
... shukrani kwa elimu nzuri. It is the only title ukiboronga namna pekee ya kukuondoa ni kukupandisha cheo! Ndio maana DPP's wamekuwa na viburi vya ajabu nchi hii.
 
Kuna masahihisho au marekebisho Mhimili wa Mahakama hususan uendeshajiwa kesi? Maana Manaibu Msajili wa Mahakama karibu Kanda zote wamepanguliwa...
 
Ni mchakato mrefu pia katiba inamlinda DPP. Hivyo mfano DPP angetofautiana na utashi wa mwendazake dawa ni kumpandisha cheo.

Pia rais ukiona huridhishwi na mwenendo wa DPP pia njia rahisi ni kumpandisha cheo.

Kwa nchi za Madola wadhifa huu wa DPP ni wenye nguvu sana kikatiba ktk nchi za Jumuiya za Madola / Commonwealth.
Huyu alikuwa zaidi ya shetani
 
Yap bora angefia ndani
sheed.png
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Mama anaamini watu wanaomsadia ni watu wazima na Wana Akili why akazindue miradi ambayo ipo Hata kwenye level ya kuzinduliwa na mkuu wa mkoa,wilaya ,mkurugenzi au waziri, ? Uongozi ni pamoja na kurasimisha madaraka wewe unabaki kufanya check and balance,penye mapungufu na kuelekeza so Kama mtendaji anaona hawezi anasema na kusaidiwa,
Sasa nyie mwataka akazindue na vyereani?
 
Sawa lakini kule kuna majukumu mengi sana, na pesa unazopewa ziko kwenye utaratibu ila jamaa anaona kabisa kwake ni demotion kubwa sana!!jamaani msicheze na u DPP, tena wa awamu ya tano??alikuwa Mungu mtu!!mi pesa inakusanywa tu tena unaambiwa usiziweke kwenye account zilete hapa ofisini!!mtu akisema nimekufutia mashitaka hakuna mtu wa kuhoji!!
Hayo ndio huwa yapo akilini mwenu ?, pathetic!
 
Hongera Mama Samia. Munhu akulinde, akujalie hekima na akuongoze.

Unafanya vema kuwaondoa washirika wa ibilisi kutoka mbele na kuwarudisha nyuma.

Bwana wetu Yesu Kristo Masiha, alipomwona Petro hayawazi ya Mungu, alimwambia, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

Hawa akina Maganga, Sambaya, Chalumila, na wenye kufanana na hao, waende nyuma, kwa maana mioyo na akili zao zinawaza uovu.
 
Aliyekuwa DPP Biswalo Mganga ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Kilichomtokea Hakina tofauti Sana na Kilichomtokea Bashiru na Polepole. Hii style ya mama ni kama anatumia Ganzi maumivu utayasikia baadaye.

Bila DPP kuleta Mashtaka Jaji Hana Kazi, na Mganga anabakia kuwa na Mganga alikuwa zaidi ya DPP alipewa Uwezo wa kufanya Negotiation na mtuhumiwa na Kesi ikaisha.

Nafasi ya DPP ipo wazi

Ole Mushi
0712702602
Good riddance!
 
Kumbe hata wana CCM aliwakwaza huyu bwana?
 
Back
Top Bottom