Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Hata wakiristo wakikaa wote nje ya serikali, waislam watajaza hizo nafasi na mambo yataenda
Mambo kwenda hayawezi kushindikana, ila sasa tujiulize Je yataenda vizuri au hovyo kama ilivyo sasa?
 
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
 
Hii wanasoma kimya kimyaa tu.
 
Ati wanasema barasa limejaa kobathi. Sie Mie ni watu hao
Hebu weka orodha ya mawaziri tuhesabu,Kisha twende Kwa makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wilaya nk,walio wengi tuanzishe petition wapunguzwe wajazwe wenzao
 

Kwa mwendazake haukuona udini ?
ss hv ndo una ona udini?
Chamsingi ni ww kupiga kazi kwa nafasi yako ili mambo yaende
 
Ni bora kazi ziwe na interviews kama zingine
La sivyo haya hayataisha itakuwa ni kulipiza tu
 
Kisu kinakata upande mwingine hizi kelele zote unazozisikia. Kingekuwa kinakata upande wanaotaka wao usingesikia kelele hizi.
Naona Slaa ameenda kuongeza nguvu

Ukiona threads nyingi nyingi za kufanana basi ujue kuna watu wako kazini
Haina tofauti na zile za Ushoga na Kataa Ndoa
 
Ni bora kazi ziwe na interviews kama zingine
La sivyo haya hayataisha itakuwa ni kulipiza tu
UTUMISHI hapo penyewe upendeleo kibao, Waislam wanaonewa kila siku, Interview iwe open, yaan watu wawe wanaona unajibu nini ili maamuzi yatoke kwa haki.
 
Unaleta hadithi za kenge manyoya hapa. Hivi Samia na Magufuli nani ni mdini? Magufuli alipokuwa akiteua Wakristo asilimia 90 mlinyamaza kimya lakini leo hii Mama akiteua Waislam hata asilimia 40 hawafiki povu kama lote. Na bado mtakufa na vijiba vya roho.
 
Nyerere alikua mkatoliki
 
Wewe ulijuaje kama anashauriwa na si utashi wake
Urais ni taasisi sio jeshi la mtu mmoja. Rais hawezi kufanya teuzi peke yake bila kushauriwa na genge la washauri wabaya wasiomtakia mema.
 
Tena mkatoliki ambaye kwa sasa kuna mchakato wa kumfanya awe mtakatifu. Kale kazee kalikua na itikadi kali ya kichini chini sana kukandamiza waislam..
Una ushahidi au unajiropokea tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…