Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

kama ambavyo kunatakiwa uwe na weledi katika kuitazamia nchi kama inafuata misingi ya demokrasia, ni vema pia haya masuala ya udini, ukabila, jinsia idadi ya wanawake na wanaume katika uongozi yazingatiwe kwa mapana yake.
 
Tatizo mnaishi kwa hao wanaoteuliwa na hamjui madhara ya uteuzi tunaoupigia kelele....Kila kitu unaletewa tu nyumbani kama umeolewa vile hujui mtaani kugumu kiaje.
Wewe unasumbuliwa na udini ndiyo maana kutwa kazi yenu kuwasema viongozi Waislam humu mitandaoni. Enzi za Mwendazake hatukuwahi kusikia hoja za udini kwenye teuzi. Chuki, hasadi na roho mbaya dhidi ya Waislam ndivyo vinavyowatafuna. Mmezoea nyie tu ndiyo mpate akipata Muislam kosa. Hii nchi ni yetu sote kaa kwa kutulia.
 
sikuhizi vilemba vingi, hata ambao waliokuwa hawavai imewabidi tu wapite na huu upepo. mpaka kuna awards
 
Kila akiingia Rais kutoka Unguja na Pwani swala Udini katika teuzi huwa linajitokeza. Sasa limeongezeka jinsia na Uzanzibari. Angalia wabunge wote kutoka mkoa wa Pwani ni mawaziri!
Mama Maridhiano!
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.

Ajaze waislamu atakavyo, wakati dhalimu anaharibu mambo mliona yuko sawa. Wakati anachagua wakristo na watu wa kanda ya ziwa mlisema kwani sio watanzania? Sasa mkae kwa kutulia maana kibao kimegeuka.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Wewe ulijuaje kama anashauriwa na si utashi wake
 
Salama mkuu? Weka hivi hapa chini halafu uje na hitimisho la Udini;

Makatibu wa Wizara
Mabalozi w nchi mbalimbali
Mawaziri & Manaibu Mawaziri
Makatibu Tawala wa Mikoa & Wilaya
Wakuu wa Mikoa & Wilaya
Wakurugenzi wa Halmashauri
Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma na Wenyeviti wao wa Bodi

Ili tuone UDINI wa Rais Samia kwenye hayo maeneo

Asante sana[emoji1488][emoji1488]
Thubutu.Hataleta takwimu kamwe.Anaendeshwa na ubaguzi na chuki .Ukiwa na chuki unakuwa na matatizo ya akili hivyo asamehewe.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.

Kati ya vitu ambavyo TANU iliweza ni pamoja na kudevide and kurule.
Hapa namaanisha kuweka chama kimoja chenye nguvu na mabranches yake mengine (upinzani) ili ionekane kuna demokrasia.

Hadi siku moja watu waamke kutoka usingizini na kutengeneza chama kimoja cha upinzani chenye nguvu na kuunganisha watu wote wanaotaka haki na usawa na maendeleo kwa watanzania na sio wachumia juani, hapo mambo yatabadilika.

Otherwise mtalalamika kila siku na Rais huyu atafanya hivi na ajae na mwingine kwasababu sheria inamruhusu na kupitiliza, walioko chini yake wengi hawajali maslahi ya watu bali wao na familia zao na madaraka.

Tunaongea sana uthubutu hamna, hatukosoani kwa hekima na kwa uthubutu, wakosoaji wanatula visogo, nani atatutoa jangwani?
 
Akiteuliwa muislamu mmoja ndani ya teuzi zenye wakiristo watatu, bado kuna baadhi ya Wakiristo wanaona hata hiyo haipaswi kuwa. Wanataka asiteuliwe muislamu hata mmoja.
 
Back
Top Bottom