Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Wamezoea upendeleo waliowekewa na Nyerere wakaona ni stahiki kwao.Wanadeka mno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamezoea upendeleo waliowekewa na Nyerere wakaona ni stahiki kwao.Wanadeka mno!
Yupi mtendaji pale kwenye baraza....riziwani ni fadhila na Makamba jr....ni fadhira za wazazi humoAcha sindano iwaingie. Kama kuwaambia ukweli ndio ujinga acha niwe mjinga. Rais haangalii dini kwenye teuzi bali anaangalia utendaji.
Sina kumbukumbu na hili.Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
Usimuwekee maneno mdomoni Mheshiniwa Rais,Mama hakufuata upuuzi bali anajaribu kubalance. Haiwezekani nchi yenye baraza la mawaziri 30 uteuwe waislam wanne tu kana kwamba wao hawakusoma au nchi nzima wamekosekana waislam hata 10 wa sifa za kiuwaziri. Hii iliwaumiza wengi mno ila hawakuwa na la kufanya katika nchi yao kwa vile katiba inampa mteuwaji ridhaa ya kuchagua yoyote.
Anachokifanya mama ni kubalance ili kutengeneza serikali yenye utaifa. Tofauti na kipindi kile ilikuwa ukienda Tanesco utafikiri uko kanisani, ilikuwa ukienda bandari same story, wizara ya elimu ndo usiseme watoto wanaletewa hadi biblia mashuleni.
So acha mama ayaponye majeraha ili nchi iwe na sura ya kitaifa sio sura ya vatican kama tuko roma.
Kwani huoni na hujui kusoma?Thibitisha haya madai.Watzn acheni ulofa jadilini mambo ya msingi
Ndiyo wameshateuliwa kama vipi chukua kamba ukajinyonge au hama nchi.Yupi mtendaji pale kwenye baraza....riziwani ni fadhila na Makamba jr....ni fadhira za wazazi humo
Tuliza kichwa kwanza.Acha udini
Simbachawene, Ndumbaro, mwigulu, mabula Bashingwa na Nape hao unasemake??
Na ofisi ya Rais Siyo Kanisa wala Msikiti kinachoangaliwa ni CV tu!CDM sio msajili wa taasisi za kidini.
Wewe ndo utulie, jifunze kujenga HOJA,Tulia kwanza ndio uchangie huu uzi. Unakamhemko ndani yake.
Serikali ni sisi.So ni kawaida,
Halafu sidhani kama Ajira tuna haja ya kuangalia %ge ya waislamu na wakristo. Serikali haiko hivyo bali sisi na akili zetu tunaona hivyo.
Serikali haifuatilii udini, MOSTLY INAFUATA SANA UKADA
Tatizo mnaishi kwa hao wanaoteuliwa na hamjui madhara ya uteuzi tunaoupigia kelele....Kila kitu unaletewa tu nyumbani kama umeolewa vile hujui mtaani kugumu kiaje.Ndiyo wameshateuliwa kama vipi chukua kamba ukajinyonge au hama nchi.
Mama Maridhiano!Anaona wa dini yake ndo wanaelewana na watafanya kazi vizuri pamoja[emoji120]isitoshe ndo wamesoma sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo mkuu wataka kusema yanayoendelea saivi waona ni sawa?Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
Ok nimekuelewa mkuu. Huu ni mtizamo wangu tu kutokana na watu wa imani fulan kulalamika kwamba wanatengwa, kama vile alivyolalamikiwa mtangulizi wake.Usimuwekee maneno mdomoni Mheshiniwa Rais,
Ameteua viongozi wa kumsaidia KAZI Kwa kufuata vigezo na uwezo.
Hakuangalia dini zao, maana Yeye Si Shehe Wala Askofu.
Dah,JF raha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanayo bana na mbona wana ilmu nzuri tu na uzoefu wa kutosha[emoji28]mfano riziwani ni bonge la msomi na kiongozi Bora of all time, kudos kwake na wote waloteuliwa.
Sensa ya dini ilifanyika lini kuonesha hilo?Sina kumbukumbu na hili.
Unajua wakristo ndio wengi na huku bara ni nchi yetu sote. Zanzibar dini moja sawa tu.
Mkuu mbona sikuwahi kuona ukihoji kwa yaliokuwa yanaendelea 2016 hadi 2021? Au yale hayakukuhusu wewe kuhoji? Na kama ulihoji niambie ni wapi nikapaone.Kwahiyo mkuu wataka kusema yanayoendelea saivi waona ni sawa?