Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hapo Chadema kuna Dini ngapi?
CDM sio msajili wa taasisi za kidini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Chadema kuna Dini ngapi?
Ingia barabarani Sasa tupigane wajinga wakubwa nyinyi . Miaka yote mmejaa nyie selikakini tukihoji mnasema hatujaenda shule .STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.Kaka hakuna mahali nimesema lazima baraza liwe la dini flani...ila tunachotaka kuwe na balance 50% kwa 50%
Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.Sasa mbona Baraza lina wakristo wengi kuliko waislamu.. Huoni wewe umekurupuka bila kujua alimaanisha dini gani.
Umeweka ujuaji mkuu
Acheni na wenzenu wapate. Nyie mmependelewa toka uhuru bado hamtosheki?Uteuzi ukifanyika wanaweka mkiristo mmoja wa kuzugia.
Kuna sheria kanuni yoyote ya uteuzi inayozungumzia kuhusu dini?...Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
BARAZA LA MAWAZIRI LINA MAWAZIRI 8 tu waislam vp mlitaka muwepo nyie tu WAKRISTO?? unotoumbwer nini?Uteuzi ukifanyika wanaweka mkiristo mmoja wa kuzugia.
Ndio maana namkumbusha mteuzi aache udini.Acha Udini wewe yani katika majina yote unachoona ni dini tu. Ukimaliza udini utakuja ukanda ukimaliza ukanda utakuja jinsia ukimaliza jinsia utakuja urefu na ufupi then mweupe na mweusi then kabila. Mtu mbaguzi hua hatakosa cha kukosoa. Baraza halina shida yoyote sana sana wananchi tunataka uwajibikaji.
Achana na UDINI kwani unasukumwa na ubaguzi.
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.
Tanga 3, Zanzibar 5 na Pwani 5.Unateuaje Mawaziri namna hiyo wakati Mikoa mingine haina uwakilishi Barazani?Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teuzi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Mjadala wa udini kwenye Executives ni senseless.Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.
Wanadeka mno!Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.
Tulia kwanza ndio uchangie huu uzi. Unakamhemko ndani yake.Wewe ndo unawasalisha au kuwasswalisha?
Wewe ni MCHUNGAJI, shehe au mganga wao?
Si sawa kuwatizama wateule wa Rais na kuchunguza Dini zao,
Tunapotafuta viongozi kuongoza Nchi hatuangalii dini, Bali uwezo.
Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.Hili ndio lilikuwa baraza lililoongoza kwa udini toka tupate uhuru.
Huenda sasa hivi raisi anajaribu kubalance ili kupunguza malalamiko ya upande mungine. Maana na wao ni watanzania hawakustahili kupewa mawaziri wanne tu nchi nzima.
Acha sindano iwaingie. Kama kuwaambia ukweli ndio ujinga acha niwe mjinga. Rais haangalii dini kwenye teuzi bali anaangalia utendaji.Hacha ujinga basi mzee ficha walau huo ujinga wako,Ongea kama mtu anayejinunulia bando vinginevyo uwe unapewa na shemeji yako simu yake utumie.
enzi zile hata wa kuzugia alikuwa haweki. na ulikuwa kimyaUteuzi ukifanyika wanaweka mkiristo mmoja wa kuzugia.
Kwaiyo na yeye Rais wa Maridhiano anarudia ya mtangulizi wake,maana jina la Sukuma gang lilitokana na hii tabia mbaya ya JPM, Kwaiyo na yeye anataka apewe jina la Pwani gang?Muache Rais afanye kazi wewée, Mbona Magufuli baraza lake loote waislamu walikuwa watatu tu Uliongea kitu
Ndo hivyo mkuu inabidi na wao wavumilie kama walivyovumilia wengine.Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.