Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Ingia barabarani Sasa tupigane wajinga wakubwa nyinyi . Miaka yote mmejaa nyie selikakini tukihoji mnasema hatujaenda shule .
 
Kaka hakuna mahali nimesema lazima baraza liwe la dini flani...ila tunachotaka kuwe na balance 50% kwa 50%
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.
 
Sasa mbona Baraza lina wakristo wengi kuliko waislamu.. Huoni wewe umekurupuka bila kujua alimaanisha dini gani.

Umeweka ujuaji mkuu
Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Kuna sheria kanuni yoyote ya uteuzi inayozungumzia kuhusu dini?...

Dini ni majina?... Akiwepo Waziri anaitwa John ndo kanisa litafaidika... Akiwepo waziri MWANASIASA anaitwa Omari ndo uislamu utafaidika?

Hivi hao wanasiasa, ni wangapi wana msaada mkbwa kwenye kusaidia au kutetea dini zao?
 
Acha Udini wewe yani katika majina yote unachoona ni dini tu. Ukimaliza udini utakuja ukanda ukimaliza ukanda utakuja jinsia ukimaliza jinsia utakuja urefu na ufupi then mweupe na mweusi then kabila. Mtu mbaguzi hua hatakosa cha kukosoa. Baraza halina shida yoyote sana sana wananchi tunataka uwajibikaji.

Achana na UDINI kwani unasukumwa na ubaguzi.
Ndio maana namkumbusha mteuzi aache udini.
 
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.

Hacha ujinga basi mzee ficha walau huo ujinga wako,Ongea kama mtu anayejinunulia bando vinginevyo uwe unapewa na shemeji yako simu yake utumie.
 
Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teuzi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Tanga 3, Zanzibar 5 na Pwani 5.Unateuaje Mawaziri namna hiyo wakati Mikoa mingine haina uwakilishi Barazani?
 
Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.
Mjadala wa udini kwenye Executives ni senseless.

Yaani wale wanasiasa tuwatazame katika sura ya kidini.. Ni senseless
 
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.
Wanadeka mno!
 
Wewe ndo unawasalisha au kuwasswalisha?

Wewe ni MCHUNGAJI, shehe au mganga wao?

Si sawa kuwatizama wateule wa Rais na kuchunguza Dini zao,

Tunapotafuta viongozi kuongoza Nchi hatuangalii dini, Bali uwezo.
Tulia kwanza ndio uchangie huu uzi. Unakamhemko ndani yake.
 
Hili ndio lilikuwa baraza lililoongoza kwa udini toka tupate uhuru.

Huenda sasa hivi raisi anajaribu kubalance ili kupunguza malalamiko ya upande mungine. Maana na wao ni watanzania hawakustahili kupewa mawaziri wanne tu nchi nzima.
Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.
 
Hacha ujinga basi mzee ficha walau huo ujinga wako,Ongea kama mtu anayejinunulia bando vinginevyo uwe unapewa na shemeji yako simu yake utumie.
Acha sindano iwaingie. Kama kuwaambia ukweli ndio ujinga acha niwe mjinga. Rais haangalii dini kwenye teuzi bali anaangalia utendaji.
 
Muache Rais afanye kazi wewée, Mbona Magufuli baraza lake loote waislamu walikuwa watatu tu Uliongea kitu
Kwaiyo na yeye Rais wa Maridhiano anarudia ya mtangulizi wake,maana jina la Sukuma gang lilitokana na hii tabia mbaya ya JPM, Kwaiyo na yeye anataka apewe jina la Pwani gang?
 
Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.
Ndo hivyo mkuu inabidi na wao wavumilie kama walivyovumilia wengine.
 
Back
Top Bottom