Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Wakijazwa wakristo wala hamsemi lakini mkiona majina mawili matatu ya kiislamu yamejitokeza basi kwenu tayari huo ni udini! Hivi nyie mkoje yaani mnaona kama waislamu ni raia daraja la pili na hawastaili kupata uteuzi au haki nyingine yoyote hadi wakristo waridhie!
wakristo wana roho mbaya sanaa,wanawachukia sana waislam
 
Nsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.

Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona.

Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini na kijinsia bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajui

kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Yale makosa ya Mwendazake yanajirudia tena!
 
Udini ni mtizamo wa mtu, la msingi hao watu wana sifa za kua hicho alicho wateuliya?
Halafu mbona kipindi Cha jiwe sisi wavaa kobazi hatukuwa na maneno maneno, kulia kupokezana.. Hayati alijaza Teuzi za kanda yake Hadi ilikuwa balaa. Tena hawakuwa wateuliwa TU bali pia chawa na walikuwa chawa wenye pawa kuliko Hawa wa mama....

Vumilia tu, Kikwete ndio alijitahidi kubalance, JkN na Mzee wa Radar Hawa nao......
 
sijakuelewa! sukuma gang na ile dini wapi na wapi?
huna unalolijua weww

Rais inajitahidi kuteua kwa kubalance dini lakini tatizo linakuja pale kwenye wizara muhimu na sehemu nyeti wanawekwa wa dini ile,mfano madini,nishati,utumishi, ukatibu mkuu,ukurugenzi, ukuu wa mikoa na wilaya,,, kwenye maeneo potential utawakuta wa dini ile,wale waliowekwa kwa kubalance utawakuta Kigoma etc

nchi sasa ipo chini ya wavaa kobazi shituka usiwe lofa
Una ushahidi?.
 
Tupambanie KATIBA mpya.

Yaani Nchi nzima inateuliwa na mtu mmoja!!

Mifumo yote ya uteuzi inamtaka mmoja ahusike,

Hata kama ana KICHWA kiasi Gani na washauri, lazima wakosee,

Tuwapigie kura, au iundwe mamlaka itakayowaajiri Kwa weledi wao kuepuka lawama mnazotoa Kwa mamlaka.
 
Tupambanie KATIBA mpya.

Yaani Nchi nzima inateuliwa na mtu mmoja!!

Mifumo yote ya uteuzi inamtaka mmoja ahusike,

Hata kama ana KICHWA kiasi Gani na washauri, lazima wakosee,

Tuwapigie kura, au iundwe mamlaka itakayowaajiri Kwa weledi wao kuepuka lawala mnazotoa Kwa mamlaka.
Hapana Rais huyu anaweza sana na kila analofanya analitambua vyema, she is capable and well informed 🙏kazi iendelee
 
Acha nongwa kaka Namna unavyo waza haipendezi bila takwimu
Tupe takwimu ili tuone udini na ujinsia unao usema
Soma mkeka uliotoka leo; acha kupayuka ovyo!
 
Hapana rais huyu anaweza sana na kila analofanya analitambua vyema,she is capable and well informed 🙏kazi iendelee
Mamlaka ya Rais ni makubwa mno,

Tunadai KATIBA mpya Ili apunguziwe mamlaka ya kuteua Karibia Kila sekta.

Iundwe mifumo na taasisi Imara zitakazowaajiri kwa weledi.

Hii italeta ufanisi na Kasi kiutendaji.

Wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.
 
Nsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.

Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi. Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Una mawazo finyu sana, unataka a balance nini na nini? Kabla ya hapo teuzi zilikua zina balance nini na nini? Kulikua kunatumika vigezo gani?

Mwacheni mama apige kazi. Labda kama kuna ushauri kwa washauri wajikite kwenye uadilifu wa wateuliwa na pia wafanye mawasiliano na wateuliwa kuona kama wanahitaji teuzi za Rais kabla ya kutangazwa kuliko kama ilivyofanyika hivi karibuni wateuliwa kukataa teuzi za Rais
 
Back
Top Bottom