Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Unajua hakuna kitu kinakera kama wakristo wa nchi hii
kujiona kama wao ndio wenye haki ya kila kitu,

Yan wanavyotaka wao mkeka ukitoka wawe wao tuu

Magufuli kafanya udini kupindukia + ukabila na Ukanda, teuzi zake alijaza wakristo, ila waislamu walikuwa kimyaaàa.

Hii nchi ni ya wote sio yenu peke yenu, kwanza walioumia na nchi hii ni waislamu, nyié hata kudai uhuru mliambiwa makanisani ni dhambi
Lakini wenzetu wamesoma sana, lazima tuwape kipaumbele,, 😁🤷🏻‍♀️
 
Akivurunda lawama wanapewa washauri wa kufikirika,akifanya vyema pongezi anapewa yeye!

Hili neno washauri linataka kuwa maarufu sana awamu hii ni vile tu watu hamtaki kuamini kama hiki kinachotokea ndiyo utashi wa "Mama" mwenyewe.
Hahaaa sahihi..
 
Nsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.

Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi. Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Hebu andika hapa teuzi zote za Rais ili tujue anaegemea dini gani!!
 
Huo udini wenyewe unaleta matunda baada ya kupata hizo nafasi au ndiyo mnapakana matope Tu. Upande fulani wamejaa lawama kila mtawala anapokuwa wa upande wa pili tena kwa kigezo cha udini na ukanda lakini game ikiwa kwao hutosikia hayo yote. Tuwapime kwa utendaji kazi wao ndiyo msingi wa uwepo wao.
 
Nsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.

Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi. Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Kila akiingia Rais kutoka Unguja na Pwani swala Udini katika teuzi huwa linajitokeza. Sasa limeongezeka jinsia na Uzanzibari. Angalia wabunge wote kutoka mkoa wa Pwani ni mawaziri!
 
Hata wakiristo wakikaa wote nje ya serikali,waislam watajaza hizo nafasi na mambo yataenda
Lakini sisi tunajiweza hata kitaa, kwenye mipira, miziki, ujenzi, biashara, viwanda, uigizaji, etc,
Tungewaacha wasomi wafanye yao, na sisi street smart tufanye yetu🤷🏾‍♂️😂
 
Acha mama afanye kazi yake uislamu ndo dini ya haki sisi mashekh wakubwa huu ndo Muda wetu wakulamba Asali maana hii nchi imechezewa.
 
Huo udini wenyewe unaleta matunda baada ya kupata hizo nafasi au ndiyo mnapakana matope Tu. Upande fulani wamejaa lawama kila mtawala anapokuwa wa upande wa pili tena kwa kigezo cha udini na ukanda lakini game ikiwa kwao utosikia hayo yote. Tuwapime kwa utendaji kazi wao ndiyo msingi wa uwepo wao.
Ila Pengo sikuhizi kauona ukweli baada ya kukumbana na dhoruba za chuma's,
Haijalishi kiongozi ni dini gani, hatuendi kuhubiriana maofisini,,
Kiongozi akiwa wa dini yako, inakufaa nini ewe muumuni,,
Pengo sikuhizi kaachana kabisa na mambo ya nyaraka aliyoyaanzisha kipindi cha Ruxa na Jk,
Tunahitaji ustawi wa nchi yetu, hatuhitaji kiongozi wa kuja kutuhubilia,,
Ndo maana chuma, alikua haangalii huyu dini yangu au vipi,, ukimletea letea, analala nawe mbere,, 😁
 
Back
Top Bottom