Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

wakristo wana roho mbaya sanaa,wanawachukia sana waislam
 
Yale makosa ya Mwendazake yanajirudia tena!
 
Udini ni mtizamo wa mtu, la msingi hao watu wana sifa za kua hicho alicho wateuliya?
Halafu mbona kipindi Cha jiwe sisi wavaa kobazi hatukuwa na maneno maneno, kulia kupokezana.. Hayati alijaza Teuzi za kanda yake Hadi ilikuwa balaa. Tena hawakuwa wateuliwa TU bali pia chawa na walikuwa chawa wenye pawa kuliko Hawa wa mama....

Vumilia tu, Kikwete ndio alijitahidi kubalance, JkN na Mzee wa Radar Hawa nao......
 
Una ushahidi?.
 
Tupambanie KATIBA mpya.

Yaani Nchi nzima inateuliwa na mtu mmoja!!

Mifumo yote ya uteuzi inamtaka mmoja ahusike,

Hata kama ana KICHWA kiasi Gani na washauri, lazima wakosee,

Tuwapigie kura, au iundwe mamlaka itakayowaajiri Kwa weledi wao kuepuka lawama mnazotoa Kwa mamlaka.
 
Hapana Rais huyu anaweza sana na kila analofanya analitambua vyema, she is capable and well informed 🙏kazi iendelee
 
Acha nongwa kaka Namna unavyo waza haipendezi bila takwimu
Tupe takwimu ili tuone udini na ujinsia unao usema
Soma mkeka uliotoka leo; acha kupayuka ovyo!
 
Hapana rais huyu anaweza sana na kila analofanya analitambua vyema,she is capable and well informed 🙏kazi iendelee
Mamlaka ya Rais ni makubwa mno,

Tunadai KATIBA mpya Ili apunguziwe mamlaka ya kuteua Karibia Kila sekta.

Iundwe mifumo na taasisi Imara zitakazowaajiri kwa weledi.

Hii italeta ufanisi na Kasi kiutendaji.

Wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.
 
Una mawazo finyu sana, unataka a balance nini na nini? Kabla ya hapo teuzi zilikua zina balance nini na nini? Kulikua kunatumika vigezo gani?

Mwacheni mama apige kazi. Labda kama kuna ushauri kwa washauri wajikite kwenye uadilifu wa wateuliwa na pia wafanye mawasiliano na wateuliwa kuona kama wanahitaji teuzi za Rais kabla ya kutangazwa kuliko kama ilivyofanyika hivi karibuni wateuliwa kukataa teuzi za Rais
 
Hebu tuwekewe mchanganuo wa teuzi zake zote tuone waislamu, wakristo, wahindu, singasinga, wapagani na wengineo wamechukuwa asilimia ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…