Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Kila akiingia rais kutoka unguja na pwani swala Udini katika teuzi huwa linajitokeza. Sasa limeongezeka jinsia na Uzanzibari. Angalia wabunge wote kutoka mkoa wa pwani ni mawaziri!
Hollow head...... Kipindi cha Magufuli Mawaziri karibu wote walitoka Kanda ya Ziwa, na Asilimia 98 walikuwa wakristo, bado nafasi nyingine kama Makatibu wakuu, wakurugenzi kote alijaza wa dini yake

Mkuu wewe tulia yako yashapita, Subiri awamu yenu tena

Halafu waislam ni very humble, yani hawanaga lawama za udini kwa rais Mkiristo, ila wao sasa, kelelee, Kwanza huyu Mama ana-balance sana kwenye teuzi, Tunaona akina John kila siku wanapewa mashavu.

Yan wakristo inaonekana Kwenye mkeka nyie hamtak hata jina la kiislamu, Amri yenu. Teuzi mpate nyie tu. Very selfish mindset
 
Abalance kitu gani mkuu, ndo naamka
 
Hakuna namna ambayo yeyote akitaka kukosoa chochote kwa mtu yoyote akashindwa kufanya hivyo kwani vigezo vya kukosoa ni vingi cha msingi tutoe ushauri kwa viongozi wetu wakati wowote kwa lengo la kuboresha na ikibidi tutoe sababu za kisomi na sio udini au ukabila.
Kuongoza nchi sio mchezo kelele na miruzi ni mingi kila kona.Tuwaombee viongozi wetu hasa ngazi ya Urais, nk
 
Yap hawana mawaa Wala makandokando Kama rizmoko,ni kijana muadilifu Sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna kula na kipofu ujue
Na kuna kula kama punda
Yaani Punda anakula mpaka mizizi na mbuzi anakula kidogo anaacha na ya kesho

Sasa utawajua nani Punda na nani ni Mbuzi kwa kula
 
Huna facts! Hueleweki. #Umeandika hisia zako za kidini na mfumo dume.🙏🙏🙏
 
Kuna kula na kipofu ujue
Na kuna kula kama punda
Yaani Punda anakula mpaka mizizi na mbuzi anakula kidogo anaacha na ya kesho

Sasa utawajua nani Punda na nani ni Mbuzi kwa kula
Jamen tumeshakubaliana hii ni awamu ya wavaa makobaz, ndugu zetu ktk imaan 🙏tuwape nafasi watuletee maendeleo,tukope kwa wingi na Tanzania isonge mbere😅hata usiku uwe mrefu vip kutakucha tu🙅🙅😜
 
Uteuzi uzingatie taaluma na uwezo. Wanasiasa dhaifu kama huyu hukimbilia kichaka cha Udini alisema mwalimu jkn
 
Ww ndio mdini na mkabila
 
Eti udini!
Mpumbavu sana kijana wewe.
"Mpumbavu" kwa jinsi lilivyotumika si tusi, ndiyo Sifa Yako.
 
Ungeweka wazi Udini na Ujinsia uliopo katika Uteuzi huo, lakini bila kuweka ushahidi wa hiki unachokizungumzia, basi uzi wako hauna maana yeyote kuwepo humu, bora upeleke Facebook tu.
 
Haya maisha yakuviziana inabidi yaishe, inaonekana hili taifa limejaa ubinafsi toka kila upande, sioni mantiki kabisa yakuhangaishwa/hangaika na haya mambo.

Hizo teuzi wanapewa wengine, sisi tuishie kusoma majina tu tupite, kwani hata wakiteuliwa wote wa dini au kanda yako, kama haupo miongoni mwao, huwezi kufaidi chochote.
 
Mfano?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Et mwana f a kala unaibu waziri nchi inavichekesho hii!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…