Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Ili mradi hajavinja katiba raisi anaweza kumteua mtanzana yeyoye anayeona atamsaidia.
Hizi hisia sijui yule ni ndugu yake, sijui wa kwao, sijui dini yake, sijui jinsia sijui mkwe zoye hizo ni porojo.

Wako wakuu waliovonja katiba na mkauchuna.

Mkishaajiri kocha mwacheni awe huru kusajili The win Team na kisimamia timu!!

Raisi teua unaowaamini na unaoweza kufanya nao kazi hujavunja katiba.
Usiwape airtime hawa wazushi!!
Nawatakia wakatoliki na wakristu kwa ujumla Kwaresma njema.
 
Hakuna udini hapo, hao wanaoteuliwa ni watanzania wenzetu tuwaunge Mkono! kwani nyakati hizo mbona wakatoliki kibao walikuwa wanaingia ktk nafasi za uteuzi na hatukusikia upande wa pili tukilia lia.
 
Magufuli alikua na udini gani mtu alietembelewa na mfalme wa moroko, Kisha akamwomba amjengee msikiti mkumbwa ambao umeshaanza, angekuwa mdini si angepotezea tuu? Kumbuka ni magufuli huyu huyu aliechangisha fedha kanisani ili kujenga msikiti, hivi upande mwingine waweza changisha fedha Kwa ajiri ya kujenga kanisa?? Ebu mwacheni Baba mtakatifu apumzike kifuani mwa YESU huko mbinguni.
 
Unapoteza muda wako bure kushauri wapumb...f.u
 
Baada ya kuacha kuwa "serious" na mambo yahusuyo nchi nina amani sana,teuzi ,mikopo mara fulani anatuhumiwa hiki na kile kwangu nasoma kama riwaya.
 
Pwani mawaziri 5 wote dini moja na Tanga 5 wote dini moja
 
Upo sahihi sn mkuu, maza mdini sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…