AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Ujinga ni kujaribu kubalance idadi ya wateule kwa dini au jinsia ilihali vigezo havimatch na hiyo idadi.
Kama wenye sifa bora wameonekana wote wakiume basi wateuliwe hao hao sio kuchomeka magugu ati unatafuta usawa wa kijinsia kazini hatuendi kucouple.
Kama Wenye sifa ni Wakristu wote basi wateuliwe hao sio utuchomekee pumba lwa kigezo cha dini maana kazini hatuendi kusali.
Na kama wenye sifa ni wasukuma wote basi chukua wasukuma sio ufosi mambo utatuharibia kazi.
Huu upumbavu unafanya tunapata viongoz wasiojua kazi kwa kubebwa na jinsi, dini au kabila.
Wivu ka kidini kijinsia na kikabila au kisiasa ukipona tutapata viongozi wa kweli tu.