Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.

Kwani lilipokuwa limejaa dini moja kipindi cha Mwendazake ni shida gani ilitokea? CCM ni ile ile..
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Hili ndio lilikuwa baraza lililoongoza kwa udini toka tupate uhuru.

Huenda sasa hivi raisi anajaribu kubalance ili kupunguza malalamiko ya upande mungine. Maana na wao ni watanzania hawakustahili kupewa mawaziri wanne tu nchi nzima.
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-210521.jpg
    Screenshot_20220717-210521.jpg
    74.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220717-210605.jpg
    Screenshot_20220717-210605.jpg
    73.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220717-210649.jpg
    Screenshot_20220717-210649.jpg
    65.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220717-210702.jpg
    Screenshot_20220717-210702.jpg
    65.2 KB · Views: 5
Muda wake utaisha,... atastaafu,.. utafanyika uchaguzi mwingine,... atakuja mwingine na mambo yatabadilika. Kaa kimya angalia mambo yanavyokwenda kwa sasa!

Usishindane na aliyeshika mpini wewe uko kwenye makali... binafsi sioni tatizo kwenye hilo. Relax!
 
Aisee, kumbe hili swala liko serious namna hii, kilichotokea kwenye hayo majina ya TRA ni kitu gani? au waliomba kobaz peke yao!
 
STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
wakati ule mbona haya hukuyasema?
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.

Ungeweka hapa huo Mkeka wa Executives tuangalie dini zao.. Uzi utanoga zaidi
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Unamaanisha nini kuhusu 'wamejaa dini moja?' Biteko ni Mwislam, Dk. Mabula ni Mwislam, Dk. Stergomena ni Mwislam? Bashungwa ni Mwislam? Watu kama wewe ni wa ovyo sana na wadini. Hatuongozi nchi kwa amri kumi za Mungu wala Sharia.

Hizi fikra za udini zilianza tangu enzi za Mwalimu. Akaambiwa kajaza Wakatoliki. Akachunguza akakuta kumbe Wakatoliki alikuwa yeye na Sir Kahama. Akaja mzee Mwinyi watu wakabadilisha, Mkapa naye hivyo hivyo, Kikwete hivyo hivyo, JPM hivyo hivyo. Hizi hi fikra za watu wenye fikra chafu za udini.

# Nchi yetu haina dini- Nyerere (Baba wa Taifa.🙏🙏🙏
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.

www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
 
STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Hivi hata nchini nzima ikiongozwa na watu kutoka kwenye dini yako ni manufaa gani utayapata kwenye maisha yako ya kila siku?
 
STUPID! watu wanalalamika vitu vya msingi wewe unaleta ujinga. if ths is to be the trend, wakristo hawatapata ajira serikalini, nchi ya waislamu tu kazi za serikali. halafu wewe unaleta ujinga! stopthat pleae John! Ths is a very serious issue. Biafra ililetwa na haya haya ya kubagua watu fulani wakataka kujitenga wawe na taifa lao! Usiyaone madogo. watu wanalalamika kuwa TRA kuna majina yote ni Waislamu! Uko kkeka humu utafute utauona.
Hivi hata nchini nzima ikiongozwa na watu kutoka kwenye dini yako ni manufaa gani utayapata kwenye maisha yako ya kila siku?
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Ndo anavyotaka na katiba inamruhusu kuteua yeyote na hata kama ni dini moja wote.
 
Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?

Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?

Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.

Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Kama wote wamekidhi vigezo tatizo lipo wapi?
 
Back
Top Bottom