Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni mdini hatari sn na upendeleo wa waziwazi, nchi imekuwa kama Islamic stateHuyu mama ni mdini sana, amefanya serikali msikiti, pili uzanzibari. Hela inapelekwa Zanzibar. Ameshikwa akili na akili na watu wachache hana maamuzi yake binafsi. Hatuna rais tuna proxy. Kuna mtu au kundi la watu linaendesha hii nchi. Km watu wanaweza kupuuza uteuzi wake na anakuja kuteua kimya kimya hapo kuna rais? Watu anaowateua ni wale wale, huu ni woga. Pummzisha watu mpaka wasahaulike. Christina ana nini kipya, Ulega eti waziri, mpaka mwanaFA? Nchi inaongozwa na wahuni.