Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Mjadala huu una macho ya kimakegenza, Hauna tija.je kwa nini msihoji nani amehodhi uchumi wa nchi ni mwislamu au mkrisitu? Au kundi fulani bila kujali dini, kabila, Mbona watu wanashupalia vyeo tu! Kwa nini msihodhi pengo la pato nchini, aliye nacho na asiye nacho, je umasikini nchini una sura ya udini na ukabila, je ufisadi una ukabila au udini,je maendeleo ya kijamii na kiuchumi yanafuata udini, tusitoke kwenye hoja za msingi kwa macho ya kukengeuka kiudini au ukabila, tuhoji vitu serious. Nyerere alikemea katika karne hii kupanda basi la ukabila na udini. Kumsingi tunachotakiwa kuhoji ni mgawanyo wa pato la taifa na maendeleo kwa ujumla nani mnufaika, je muislam au mukristo au mpagani,mimi ninaamini ni kikundi kidogo tu bila kujali dini au kabila. Religion is just an ideological mindset being used by such exploiters to divert our attention from realistic wealth distribution thinking,ambalo ndilo tatizo kubwa nchini.
 
Unajua hakuna kitu kinakera kama wakristo wa nchi hii kujiona kama wao ndio wenye haki ya kila kitu,

Yaani wanavyotaka wao mkeka ukitoka wawe wao tuu

Magufuli kafanya udini kupindukia + ukabila na Ukanda, teuzi zake alijaza wakristo, ila waislamu walikuwa kimyaaàa.

Hii nchi ni ya wote sio yenu peke yenu, kwanza walioumia na nchi hii ni waislamu, nyié hata kudai uhuru mliambiwa makanisani ni dhambi
Hivi kumbe[emoji848]! Kwa mantiki hii nchi zisizo na Waislamu ninyi ndiyo mlienda kuwapambania hadi wakapata uhuru? Hata TZ ninyi ndiyo mlikuwa front line alright, nakumbuka wavaa makobazi wakiwa kwenye vijiwe vya kahawa Kariakoo wakati wenye akili zao wakipambana kwa kutumia akili.
IMG_20230304_100545.jpg
 
Wakijazwa wakristo wala hamsemi lakini mkiona majina mawili matatu ya kiislamu yamejitokeza basi kwenu tayari huo ni udini! Hivi nyie mkoje yaani mnaona kama waislamu ni raia daraja la pili hivyo hawastaili kupata uteuzi au haki nyingine yoyote hadi wakristo waridhie!
Ndio walivyo hawa wagalatia
 
RAIS SAMIA NA TEUZI ZA UDINI.

Toka Rais Samia apate 'ngekewa' ya kuongoza nchi hii ameonyesha upendeleo wa wazi wazi katika Teuzi zake kwa watu wa imani yake na kuwatenga WAKRISTO, hili halihitaji Rocket Science
ili kuweza kulibaini.

Upendeleo huu wa kuwabagua upande mmoja na kupendelea upande mwengine kisa tu watu wa imani yako unaleta/utaleta utengano wa kitaifa hili swala linabidi likemewe vikali na washauri wa Rais wamueleze wazi wazi misingi ya nchi hii bila kificho wala haya kwamba mama unapoelekea huku sipo.

Tazama teuzi za Mawaziri,Katibu Wakuu,RCs,DCs,MADAS na MADED,Majaji,Mahakimu,Wakuu wa Mashirika/Idara,nk.
Kila teuzi atakayotoa Samia wewe angalia wa imani ile wako wangap na imani hii wako wangapi,hapo ndipo utaona upendeleo uliokithiri.
Mtu mmoja akaenda mbali akasema ukiwa mpemba au unatoka visiwani tu mama lazima akuteue na hili nadhani liko bayana katika kila teuzi anayofanya.

mfano. Teuzi za leo,Ameteua wafuatao;
1.Mbarouk Salim Mbarouk~Makamo mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

2.Balozi Ramadhani Mapuri~Mjumbe Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

3.Dk Zakia Mohamed Abubakari ~Mjumbe Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

4.Prof.Idrissa Mshoro~Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa wakala wa Ndege za Serikali(TGFA).

5.Benjamin Mashauri Magai~Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.

katika teuzi hizi zaidi ya 97% ni imani yake na huku akiitelekeza jamii nyingine,Taifa lisilo na usawa katika uwakilishi ni bomu linalosubiri kulipuka.
Mwenye masiko na asikie,Na mwenye macho ni atazame!
Screenshot_20230629_214133_Instagram.jpg
Screenshot_20230629_185309_Instagram.jpg
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajui kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Mkwe ameshikilia Mbuga za wanyama
Mzenji mwenzie kashika ujenzi na bandari

Sasa hivi form V wameweka combination ya uislam na kiarabu.. ila theology haipo..
 
Sawa, ila ikumbukwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Endelea tu kusubiri
 
Haiko rasmi lakini ndivyo ilivyo, rais huteua watu anaowaamini. Anameza kuteua wana ulinzi na usalama watu wenye maadili na imani kama yeye
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajui kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
hivi wewe unajua teuzi za upendeleo zilivyokuwa samua anasawazisha

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
MKATABA WA BANDARI NI WA KIUHAINI,UMEVUNJA KATIBA YA NCHI NA UTAKWENDA KUVUNJA SHERIA ZA NCHI -MWANASHERIA DR NSHALA RUGEMELEZA.

"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa,angalia ibara ya 10,18 na 27 ya mkataba huo ndio utagundua waliosaini mkataba huo walikuwa na dhamira ya kuuza nchi" Mwanasheria Rugemeleza.

Yote yanayofanywa sasa na Serikali ni propaganda kiwaaminisha watu walichofanya ni sahihi,na kilikuwa na nia njema,sasa hatuwezi kuruhusu nia njema kuuza rasilimali zetu-Mwanasheria Rugemeleza.

"Namshukuru Daktari Slaa kwa kulisemea hili,nawashukuru wote waliosimama kuhesabiwa kulisemea jambo hili la kuuzwa kwa rasilimali zetu,nilitegemea Bunge lingeweza kumuwajibisha Rais,kwa maana hakuna aliye juu ya sheria,lakini haikuwa hivyo" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mtu mwenye hulka ya wizi lazima atatuibia,mtu mwenye uwezo mdogo wa akili haiwezekani leo ageuke mwenye busara" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa kwa kuuangalia tu kama hauna majeraha ya akili na akili yako iko sawasawa utagundua ule ni mkataba batili,ule ni mkataba haramu,ule ni mkataba usio weza kutetewa na mkataba wenyewe umejivika madaraka kuwa juu ya sheria ya nchi katika ibara ya 27" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa kwa kuuangalia tu kama hauna majeraha ya akili na akili yako iko sawasawa utagundua ule ni mkataba batili,ule ni mkataba haramu,ule ni mkataba usio weza kutetewa ni mkataba unaovunja katiba yetu ya nchi moja kwa moja na mkataba wenyewe umejivika madaraka kuwa juu ya sheria ya nchi katika ibara ya 27" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa unajiweka juu ya sheria ya nchi, mkataba unajiweka juu ya katiba ya nchi,unagandisha sheria za kodi,halafu niliwasikia watu kama kina Tulia wakifokea fokea watu,mtoto mdogo unafokea fokea watu,nilichogundua hajui sheria za mikataba ya kimataifa" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba utaisha siku shughuli za bandari zitakapokwisha, mkataba hausemi manufaa ya uwekezaji huo,ni lipi andiko limeandika manufaa ya uwekezaji huo na kusema tunamuhitaji mwekezaji huyu, mkataba utatumia sheria za kodi za siku iliyosainiwa,hautalipa tozo,halafu Mbarawa anatueleza mkataba huu una manufaa,ni yapi hayo manufaa ikiwa mkataba utakuwa juu ya sheria zote za nchi yetu?" Mwanasheria Rugemeleza.

"Viongozi matumbo wamefanya maamuzi ya vizazi vijavyo bila kuzingatia usawa,Wajukuu wetu watakuwa wanaiangalia bandari kama wanavyomuangalia Mama Mkwe na wasifanye lolote, Mkataba wa Rio unasema kufanya maamuzi juu ya vizazi vijavyo kwa kuzingatia usawa, Mkataba unasema utaisha siku,Mwenyezi Mungu akisema Dunia imefika mwisho,tutatawaliwa na Dubai hadi siku Dunia ikifika mwisho"Mwanasheria Rugemeleza.

"Viongozi awa ndio tunawapisha barabarani kwenye misafara yao,Rais aliapa kuilinda na kuitetea katiba,je alichofanya ndicho!!?? sicho,amepoteza uhalali wa kuwa Kiongozi wetu" Mwanasheria Rugemeleza

"Kitendo cha bunge kupitisha mkataba ule ni aibu,ni dharau kwa nchi,awa watu wameisaliti nchi yetu,wote waliosaini na kupitisha ule mkataba majina yao yaandikwe msaliti,mhaini,tuwakemee watu awa kwa hasira maana wameisaliti nchi yetu" Mwanasheria Rugemeleza.

"Na kuhusu suala la Katiba Mpya,nashauri tukae tuchague watu wa kwenda kutuandikia katiba yetu lakini sio awa waliopo" Mwanasheria Rugemeleza

"Ibara ya 14 kuhusu fidia (Prompty and adequate compassition) utalipa fidia ya hasara ya Sasa na ya mbeleni iliyopotea inapingana na ibara ya 24(2) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayosema alipwe fidia inayostahili,inapingana na ibara ya 4 na ibara ya 2 la Umoja wa mataifa ya International investment law inayosemwa alipwe fidia inayostahili,Mimi PhD yangu ni ya International investment law na nimesomea Havard,na Mimi sio Mwanasheria uchwara,huu mkataba umeiuza nchi na kukiuka katiba ya nchi yetu" Mwanasheria Rugemeleza

"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa,angalia ibara ya 10,18 na 30 ya mkataba huo ndio utagundua waliosaini mkataba huo walikuwa na dhamira ya kuuza nchi" Mwanasheria Rugemeleza.

"Spika alikuwa anakuja kwetu kama mwanafunzi wa kujifunza intern kuulizia haya mambo ya International investment law,Leo anajifanya yeye anajua sana,hii ni kejeli,dharau na jeuri,hii inatuonesha sisi Watanzania hatujawafundisha viongozi wetu kutuheshimu,zile kanuni za Tanu wao hawajazisoma,kwa hiyo sisi wanatufanya watwana wao,ndio maana licha ya ibara 27 kusema Tanzania itawajibika kwa Dubai,wao wanakata mayenu wanasema mkataba huu uko sawa sawa"Mwanasheria Rugemeleza.

"Ukiangalia ibara ya 28 uhaini mkubwa umefanyika dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mkataba huu wa bandari na hili nalisema bila kumung'unya maneno haya yamefanywa na Kiongozi namba moja,bunge na wote waliosaini" Mwanasheria Rugemeleza

"Viongozi wetu hawana uhalali wa kuendelea kukaa madarakani,wenzetu waislamu kama umemtendea baya lazima akuoneshe alivyochukia, Watanzania lazima tuoneshe tulivyochukia,hapa lazima tuvue gloves,kama kupigwa basi zipigwe kavu kavu kuonyesha jinsi tulivyochukia" Mwanasheria Rugemeleza.
"Mimi sio mtoto mdogo tena,nimepata miaka yangu yote ya kuishi na nimepata akili nyingi juu ya sheria za nchi na kimataifa,namshukuru Mungu,Sasa siwezi kuruhusu mtoto wangu au mjukuu wangu aishi katika ujinga namna hii,huu ni mkataba haramu,danyanyifu,mkataba wa kuuza nchi, mkataba uliovunja katiba"Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba huu umevuja kwa namna ya ajabu sana,je mikataba mingapi haijavuja na kuna madudu kama,uliposainiwa mkataba huu ilisainiwa mikataba mingine mingi hapo Dubai,kwa hili lililotokea tutawaamini vipi awa viongozi wetu,wamepoteza uhalali wa kuaminiwa na Wananchi"Mwanasheria Rugemeleza.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajui kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Wewe ulijuaje kama kuna udini au wewe ndiye mdini nambari wani. Kama ni majina kuna sehemu wapo akina Mwajuma wakristo na akina Juma wakristo
 
Hizi ndio tunaita chuki za mbwa, Sukuma gang ndio linamshauri raisi? hizi chuki zingine peleka kwa mfuga mbwa!
 
Wewe ulijuaje kama kuna udini au wewe ndiye mdini nambari wani. Kama ni majina kuna sehemu wapo akina Mwajuma wakristo na akina Juma wakristo
Enhee! Hebu tuchambulie vizuri mkuu.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.

Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya.

Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia. Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya wasaidizi wake, anarudia tatizo lile lile.

Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano mzuri ni huu uteuzi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi.

Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajui kama anashauriwa vibaya. Wanadhani anafanya makusudi.

Nawasilisha.
Ni afadhari ushauri jiwe sio huyu mama ni kibri na jeuri kweli kweli.
 
Back
Top Bottom