Manara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .Wanafungiwa tu na hakuna watakalofanya, mnaendeshwa na kelele za manara na siyo misingi ya soka, kwanza mtu anasema na kwa kutumia nguvu kubwa nimekuja hapa Kama MC na siyo mtu wa soka, si unaona keshajistukia anavunja sheria.
We nae mjinga sana na yale madola wanayotoa FIFA kila mwaka kwa TFF mpaka malinzi akazitafuna yanatoka hapo utopoloni?Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.
Huoni kwanza mpaka hapo wanaigopa Yanga, hili tukio ni la club na si la Hersi,Yanga ndio inatakiwa kuwajibika kwa 100%.
Hawapo sahihi kwani hata barua ya kusimamishwa Manara hakupewa Hersi ilipewa Yanga.Think twice. Yanga inaongozwa na watu. TFF walimpa barua ya kusimamia adhabu hii. WAKO SAHIHI
Hata kama ni Simba ndio kanuni zisiheshimiwe?
Ataomba msamaha tena si juzi tu katoka kutema ndoano kamuomba msahama mh mchengerwaKama Yeye ni Jeuri Aitishe press tena!
Bato iendelee
Yanga ni nani?TFF na sijui hawajui kutafsiri sheria, hapo inatakiwa waifungulie kesi Yanga na Manara.
Ona mbwa hii inabweka bwekaKwani hao TFF watawafanya nini sasa Manara na Hersi?Hakuna chochote wanachoweza kuwafanya!Na wasithubutu. Manara na Hersi wanaweza kuwafanya TFF chochote kile. Ile ni timu ya wananchi. Narudia,WASITHUBUTU.
Wewe ndiye mjinga/ficha ujinga wako,hivi unasomaga hata maelezo ya zile hela,zole hela zinaenda kwa ajili ya program za kukuza mpira wa vijana,wanawake na kuboresha miundo mbinu ya mpira.We nae mjinga sana na yale madola wanayotoa FIFA kila mwaka kwa TFF mpaka malinzi akazitafuna yanatoka hapo utopoloni?
Morison jana hakukosea kusema utoh wengi mmekimbia shule
Mkuu ukiisoma vizuri iyo press ya tff utaelewa kwann kaitwa hersi, ... Na hata fungiwa zaidi zaidi ata pewa warning tu na fine nzito tu ila msukule lzm atop up adhabu yakeManara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .
Soma barua, uone Tff walimwambia nini Mhandisi wetu huyo namna ya kusimamia na utekelezaji wa adhabu ya mwajiriwa wake? Sasa si mnarudia ya morisoni, kamati yenu inashindwa kutafsiri sheria za soka hapa nchini?Manara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .
Anaweza Kuwa Kama Major Songolo MarineIv hili neno engineer n kweli au n jina wanampa tuu,maana namuona kama n mweupe kichwan
Umemaliza kubweka?Wewe ndiye mjinga/ficha ujinga wako,hivi unasomaga zile hela zinaenda kwa ajili ya program za kukuza mpira wa vijana,wanawake na kuboresha miundo mbinu ya mpira.
FUTA UJINGA WAKO HELA ZA FIFA HAZIPO KWA AJILI YA KUENDESHA SHUGHULI VYAMA VYA SOKA VYA NCHI YOYOTE. Ndio maan amnasisitizwa kila siku kama mashirika ya soka watengeneze vyanzo vyao vya mapato binafsi.
UKIPATA MUDA INGIA KWENYE WEBSITE ZA FIFA AU HATA PAGE YA DAUDA UTAONA HELA FIFA ZINALENGA NINI ,ILA SASA SIJUI KAA KINGEREZA KAMA KINAPANDA.