TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Wanafungiwa tu na hakuna watakalofanya, mnaendeshwa na kelele za manara na siyo misingi ya soka, kwanza mtu anasema na kwa kutumia nguvu kubwa nimekuja hapa Kama MC na siyo mtu wa soka, si unaona keshajistukia anavunja sheria.
Manara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .
 
Wanasheria naomba mnisaidie hili,

Sina uhakika kama Haji amesha kata rufaa but nataka kujua kua endapo mtu ataikatia rufaa hukumu,mtuhumiwa katika kipindi cha kusubiri rufaa yake kusikilizwa atapaswa kuitekeleza ile hukumu yake katika kipindi hicho?
 
Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.

Huoni kwanza mpaka hapo wanaigopa Yanga, hili tukio ni la club na si la Hersi,Yanga ndio inatakiwa kuwajibika kwa 100%.
We nae mjinga sana na yale madola wanayotoa FIFA kila mwaka kwa TFF mpaka malinzi akazitafuna yanatoka hapo utopoloni?
Morison jana hakukosea kusema utoh wengi mmekimbia shule
 
Think twice. Yanga inaongozwa na watu. TFF walimpa barua ya kusimamia adhabu hii. WAKO SAHIHI
Hawapo sahihi kwani hata barua ya kusimamishwa Manara hakupewa Hersi ilipewa Yanga.

Kwa kifupi TFF wanaiogopa Yanga.
 
Kwani hao TFF watawafanya nini sasa Manara na Hersi?Hakuna chochote wanachoweza kuwafanya!Na wasithubutu. Manara na Hersi wanaweza kuwafanya TFF chochote kile. Ile ni timu ya wananchi. Narudia,WASITHUBUTU.
 
Ona mbwa hii inabweka bweka
Morison hakukosea kusema mmekimbia shule mna viongozi vihiyo wenye mihemuko
Nadhan hata mzee mpili alionekana akiondoka uwanjani mapema akijua shughuli imeharibika
 
We nae mjinga sana na yale madola wanayotoa FIFA kila mwaka kwa TFF mpaka malinzi akazitafuna yanatoka hapo utopoloni?
Morison jana hakukosea kusema utoh wengi mmekimbia shule
Wewe ndiye mjinga/ficha ujinga wako,hivi unasomaga hata maelezo ya zile hela,zole hela zinaenda kwa ajili ya program za kukuza mpira wa vijana,wanawake na kuboresha miundo mbinu ya mpira.

FUTA UJINGA WAKO HELA ZA FIFA HAZIPO KWA AJILI YA KUENDESHA SHUGHULI VYAMA VYA SOKA VYA NCHI YOYOTE. Ndio maan amnasisitizwa kila siku kama mashirika ya soka watengeneze vyanzo vyao vya mapato binafsi.

UKIPATA MUDA INGIA KWENYE WEBSITE ZA FIFA AU HATA PAGE YA DAUDA UTAONA HELA FIFA ZINALENGA NINI ,ILA SASA SIJUI KAA KINGEREZA KAMA KINAPANDA.
 
Manara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .
Mkuu ukiisoma vizuri iyo press ya tff utaelewa kwann kaitwa hersi, ... Na hata fungiwa zaidi zaidi ata pewa warning tu na fine nzito tu ila msukule lzm atop up adhabu yake
 
Manara alikwenda kwenye tamasha la YANGA au Engineer Hersi ? .
Soma barua, uone Tff walimwambia nini Mhandisi wetu huyo namna ya kusimamia na utekelezaji wa adhabu ya mwajiriwa wake? Sasa si mnarudia ya morisoni, kamati yenu inashindwa kutafsiri sheria za soka hapa nchini?
 
Iv hili neno engineer n kweli au n jina wanampa tuu,maana namuona kama n mweupe kichwan
Anaweza Kuwa Kama Major Songolo Marine
Waziri Mkuu Alimuuliza Wewe Ni Major Wa Jeshi Akasema Hapana Ni Jina Tu
 
Wewe ndiye mjinga/ficha ujinga wako,hivi unasomaga zile hela zinaenda kwa ajili ya program za kukuza mpira wa vijana,wanawake na kuboresha miundo mbinu ya mpira.

FUTA UJINGA WAKO HELA ZA FIFA HAZIPO KWA AJILI YA KUENDESHA SHUGHULI VYAMA VYA SOKA VYA NCHI YOYOTE. Ndio maan amnasisitizwa kila siku kama mashirika ya soka watengeneze vyanzo vyao vya mapato binafsi.

UKIPATA MUDA INGIA KWENYE WEBSITE ZA FIFA AU HATA PAGE YA DAUDA UTAONA HELA FIFA ZINALENGA NINI ,ILA SASA SIJUI KAA KINGEREZA KAMA KINAPANDA.
Umemaliza kubweka?
 
Hivi huyo hesi naye alishindwa vipi kujiridhisha kwanza kama analotaka kulifanya halikiuki adhabu inayotumikiwa?.

Au ni kiburi tu na kuamini kwenye jeuri ya pesa?...Kamati ya maadili simamieni weledi mtu asiwababishe na pesa zake.
 
Back
Top Bottom