The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

Kwahiyo unataka kuniambia Modric alikuwa na kiwango bora kuliko CR7 na MESSI?

Na unataka pia kuniambia WESLEY alikuwa na kiwango bora kuliko MESSI mwaka 2010? Kwa lipi na kipi alichofanya?

Je unafahamu kuwa Makombe ni overall perfomance ya team mzima na sio mchezaji mmoja?

Je unakubaliana nami kuwa unaweza ukawa na wavunja kuni na kubeba makombe ila kazi yao ikawa ni kuzuia na kusubiri penalty kama GREECE au PORTUGAL?

Je unajua kuwa tuzo hupewa kwa kuzingatia overall perfomance ya mchezaji na sio overall perfomance ya team?

Tatizo wengi wetu tunachanganya kati ya team perfomance na individual perfomance na pia tunashindwa kuelewa kuwa tuzo ya uchezaji bora wa Dunia ni individual perfomance na sio team perfomance.

Narudia tena, Nje ya kubeba UCL kwa msimu huu VIRGIL is nothing, ni sawa na KOULIBALY tu, Bernado Silva alikuwa na msimu bora kuliko VIRGIL kwa individual perfomance.
ubora au kiwango bora cha mchezaji unakipima kwa njia gani?
haiwezekani mlinzi wa kati (van virgil) na kiungo mshambuliaji (bernardo silva) wafanane kiuwezo.

kwa hoja zako wewe ina maana zidane, luis figo, cannavaro laiti kama wangelicheza soka nyakati hizi basi wasingelistahili kushinda tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hawafikii ubora walionao messi na ronaldo hususani kwenye ufungaji wa magoli.

unasema hujui alichokifanya wesley sneijder mwaka 2010, brother mbona unaleta utani wa makusudi.
 
Naomba utuweke hapa INDIVIDUAL PERFORMANCE Bora za Defender ni zipi??? Ambazo Virgil hakuzifikia.
 
Takwimu za Messi zimeletwa hapa za msimu mzima, kipi kinawashinda kuleta takwimu za Virgil hapa ili tuone?

Yaani mtu anaesubiri kupiga vichwa na tackling eti apewe uchezaji bora wa Dunia? Acheni mambo yenu bwana.

Hivi unajua kuwa beki wa kati toka dakika ya kwanza hadi mpira unaishi anaweza asikimbie hata kilometre 3? Na wakati viungo wakabaji na washambuliaji wanakimbia zaidi ya kilometre 7 uwanjani?

Mabeki na makipa watengenezewe tuzo zao, hawastahili kushindanishwa na viungo pamoja na washambuliaji hata siku moja, kazi wanayofanya ni ndogo sana compared na viungo na washambuliaji.

Ni upumbav* wa kiwango cha SGR kumlinganisha VVD na hata SADIO MANE kwa takwimu za uwanjani na hata PFL kabeba kwa bahati tu, ile tuzo alitakiwa apewe Raheem Stearling na sio VVD, kuna muda matatizo ya nje ya uwanja yanamuhukumu Raheem.

Afu kumbukeni kuwa Mohamed Salah alibeba PFL na kumwacha De Bruyne ambae alikuwa anapigiwa upatu wa kuwa mchezaji bora so hata hii FIFA wako fair kabisa na La Pulga alistahili
zidane hajawahi kumshinda thierry henry kwa kufunga magoli kwenye msimu wowote wa ligi lakini mbona ana tunzo tatu za mchezaji bora wa dunia haliyakuwa henry hana tunzo hata moja?

kama ni hivyo basi FIFA walipaswa waziite tunzo za mfungaji bora wa dunia na si tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hata beki na kiungo wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia na mifano ipo kama canavaro na zidane.
raul gonzalez alifunga magoli mengi kuliko zidane lakini hana tunzo hata moja ya dunia.
 
Mashindano yote barani ulaya VVD alikuwa bora...kuanzia EPL,UCL mpaka National team

Ubora upi unaozungumzia wewe? Kukimbia kilometre 2 ndani ya dakika 90 au? Hebu acha zako, Robertson alikuwa bora zaidi ya VVD, hebu tuache mihemkko kidogo na kuishi kwa kukariri, si kila team inayobeba uefa lazima itoe mchezaji bora wa Dunia, Liverpool walikuwa na msimu mzuri sana kuliko barcelona bt Messi alikuwa na kiwango bora sana tofauti na Sadio mane, Mohamed Salah na VIRGIL ndio maana nasema kwenye tuzo kinachoangaliwa na overall perfomance ya mchezaji na sio overall perfomance ya team.
 
kama itatokezea messi amefunga magoli 100 na assist 50 bila ya kushinda kombe hata moja kwa hoja yako wewe anapaswa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

kwa hoja yako kama itatokezea liverpool wamecheza msimu mzima bila ya kuruhusu kufungwa mechi hata moja huku wakibeba ubingwa bado van virgil hatostahili kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa sababu amezidiwa na messi kitakwimu za magoli.

nilikuwa sijakuelewa brother.
 
ubora au kiwango bora cha mchezaji unakipima kwa njia gani?
haiwezekani mlinzi wa kati (van virgil) na kiungo mshambuliaji (bernardo silva) wafanane kiuwezo.
kwa hoja zako wewe ina maana zidane, luis figo, cannavaro laiti kama wangelicheza soka nyakati hizi basi wasingelistahili kushinda tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hawafikii ubora walionao messi na ronaldo hususani kwenye ufungaji wa magoli.
unasema hujui alichokifanya wesley sneijder mwaka 2010, brother mbona unaleta utani wa makusudi.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya individual perfomance na team perfomance, ubora wa VVD ni matokeo ya team perfomance bt ubora wa Messi ni matokeo ya individual perfomance, kama hujanielewa hapa basi huwezi kunielewa daima.

Yes, Zidane na Kaka wangecheza kipindi hiki wangekuwa na uwezekano mdogo sana wa kuchukua mchezaji bora wa Dunia, hiki kitu ambacho wanafanya Ronaldo na Messi nakiri hakijawahi kushuhudiwa toka Dunia iumbwe (achana na enzi za mpira ambao offside hazikuwepo) nazungumzia toka zianze zama za modern football
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya individual perfomance na team perfomance, ubora wa VVD ni matokeo ya team perfomance bt ubora wa Messi ni matokeo ya individual perfomance, kama hujanielewa hapa basi huwezi kunielewa daima.
nilichogundua brother unamchukia sana van virgil,
akifanya vizuri messi na ronaldo ni individual perforamance ila anachokifanya van virgil na wachezaji wengineo nje ya messi na ronaldo ni team performance.
 
Naomba utuweke hapa INDIVIDUAL PERFORMANCE Bora za Defender ni zipi??? Ambazo Virgil hakuzifikia.

Hiyo sio kazi yangu, hiyo ni kazi yako wewe.

Mimi nimeleta za Messi na wewe lete za VVD ili tufanye comparison.

Kwako wewe, Je nje ya UCL Virgil kafanya nini cha ziada? Hivi mtu aliekimbia kilometre 300 msimu mzima na mtu aliekimbia kilometre 50 msimu mzima tunaweza kuwaweka daraja moja?

Yaani mtu akimbie kilometre 300 msimu mzima, afunge magoli zaidi ya 45 msimu mzima, atoe assist zaidi ya 15 msimu mzima, afunge hatrick za kutosha, kukokota mipira kwa kiwango cha lami, apige freekick za kutosha, apigwe viatu vya kutosha na mengine mengi afu aje alinganishwe na mtu ambae msimu mzima kakimbia kilometre 50, magoli kafunga 5, hana assist hata moja, tackling 10, aerial 15 na rafu 100?

Hebu acheni mambo yenu, beki hawezi kuwa mchezaji bora hata siku moja, ile ya cannavaro ilikuja kwa bahati mbaya tu, Mabeki kama walivyo makipa watengenezewe tuzo zao na ndio maana hata mishahara yao ni tofauti sana na viungo pamoja na washambuliaji kwakuwa kazi wanayofanya ni ndogo kulinganisha na wanayofanya viungo na washambuliaji.
 
Takwimu za Messi zimeletwa humu, so lete za VVD ili kila mtu aone VVD kamzidi Messi wapi.
Nadhani hilo swali ungewapa UEFA si ndio walimchagua VVD. Hivi ni lazima wote tukubaliane kuwa Messi alistahili. ukiona mtu anatumia nguvu sana ujuwe hana uhakika. VVD alipewa majuzi UEFA kwa vigezo hivyo hivyo walivyompa Messi. ukiangalia hata team bora ya UEFA na ya FIFA jibu utapata tu.
 
zidane hajawahi kumshinda thierry henry kwa kufunga magoli kwenye msimu wowote wa ligi lakini mbona ana tunzo tatu za mchezaji bora wa dunia haliyakuwa henry hana tunzo hata moja?
kama ni hivyo basi FIFA walipaswa waziite tunzo za mfungaji bora wa dunia na si tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hata beki na kiungo wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia na mifano ipo kama canavaro na zidane. raul gonzalez alifunga magoli mengi kuliko zidane lakini hana tunzo hata moja ya dunia.

kumbuka hii ni modern football, ishi ukikariri hivyo hivyo na hutokuja kuona hata siku moja beki akiwa mchezaji bora wa dunia kwa huu mpira wa kisasa.

Takwimu ndio zinawaumbua mabeki na makipa, Fifa wawatengenezee tuzo zao ili nao wapeane wavivu kwa wavivu huko.
 
Takwimu za Messi zimeletwa humu, so lete za VVD ili kila mtu aone VVD kamzidi Messi wapi.
Halafu ndugu yangu vigezo vyote alivyoshindia Messi kwa mujibu wako ni hivyo hivyo walitumia UEFA. Messi anacheza mpira europe vipi kule ashindwe kabla ya miezi miezi miwili leo awe mshindi. utasema UEFA wamekosea na mimi nitasema FIFA wamekosea.
 
kumbuka hii ni modern football, ishi ukikariri hivyo hivyo na hutokuja kuona hata siku moja beki akiwa mchezaji bora wa dunia kwa huu mpira wa kisasa.

Takwimu ndio zinawaumbua mabeki na makipa, Fifa wawatengenezee tuzo zao ili nao wapeane wavivu kwa wavivu huko.
huo mpira kabla haujafika kwa messi na ronaldo unapaswa uwafikie hao mabeki, kipa na midfield unaowadharau.
hiyo dhana ya mpira wa kisasa imeanza kutumika lini?
 
kama itatokezea messi amefunga magoli 100 na assist 50 bila ya kushinda kombe hata moja kwa hoja yako wewe anapaswa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.
kwa hoja yako kama itatokezea liverpool wamecheza msimu mzima bila ya kuruhusu kufungwa mechi hata moja huku wakibeba ubingwa bado van virgil hatostahili kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa sababu amezidiwa na messi kitakwimu za magoli.
nilikuwa sijakuelewa brother.

Na hiyo ndio logic yangu, kama umenielewa basi vizuri sana, tuzo ni overall perfomance ya mchezaji na sio overall team perfomance ya team.

Nikuulize swali, Unadhani kwanini Mohamed Salah alibeba PFL mwaka juzi na sio Kelvin De Bruyne? Kumbuka mohamed salah hakubeba kombe lolote lile na unadhani kwanini VVD kabeba PFL mwaka huu na sio Raheem Stearling? Wakati VVD hajabeba EPL?

Ukipata majibu ya hayo maswali basi hutoangaika hapa kuuliza uliza tena.

Kuna tofauti kubwa, tena kubwa sana kati ya Team perfomance na individual perfomance na tuzo huwa zinaangalia individual perfomance na sio team perfomance, kumbuka uzembe wa Dejan Lovren haukumzuia Mohamed Salah kubeba PFL na kama ulivyo uzembe wa Gerald Pique ambavyo haukumzuia Messi kubeba mchezaji bora wa Dunia.

Its all about individual perfomance na sio team perfomance, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Messi alistahili kwa msimu uliopita.
 
Halafu ndugu yangu vigezo vyote alivyoshindia Messi kwa mujibu wako ni hivyo hivyo walitumia UEFA. Messi anacheza mpira europe vipi kule ashindwe kabla ya miezi miezi miwili leo awe mshindi. utasema UEFA wamekosea na mimi nitasema FIFA wamekosea.

Hili swali nimeshalijibu huko nyuma, ni vema ukawa unapitia mjadala mzima sio unapitia quote zako tu.

Uefa wamempa vvd kwa kuangalia uefa champions league na europa league tu na ambayo kwangu mm Sadio alifanya vizuri than vvd so tafuta hiyo post, nimeelezea vizuri tu
 
Sasa wewe ndio hujaelewa. Matokeo ya mitihani utaijuwa lakini huwezi kujuwa ikiwa matokeo hayajatoka au kubandikwa
Ile ni kama kuzawadiwa siku ya graduation baada ya mitihani na kujua nn umefanya.
Mitihan ilikua zile league na mtu ashajua nn amefanya ilibakia kupewa zawadi kulingana na matokeo mtu aloyapata.
Ni sawa na messi alishapata matokeo ktk mtihan wake wa Laliga na Uefa.
Amejua nn amefanya ndio maana akajiamini kuwa zawadi ni yake.
 
zidane hajawahi kumshinda thierry henry kwa kufunga magoli kwenye msimu wowote wa ligi lakini mbona ana tunzo tatu za mchezaji bora wa dunia haliyakuwa henry hana tunzo hata moja?

kama ni hivyo basi FIFA walipaswa waziite tunzo za mfungaji bora wa dunia na si tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hata beki na kiungo wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia na mifano ipo kama canavaro na zidane.
raul gonzalez alifunga magoli mengi kuliko zidane lakini hana tunzo hata moja ya dunia.
Asa kaka mbona unajivuruga?
Zidane beki?
Si kiungo yule?
 
huo mpira kabla haujafika kwa messi na ronaldo unapaswa uwafikie hao mabeki, kipa na midfield unaowadharau. hiyo dhana ya mpira wa kisasa imeanza kutumika lini?

Mkuu kama unaona FIFA wamekosea basi ni sawa, haya ni mawazo yako na mimi naheshimu mawazo yako, nimejitahidi sana kukuelezea na kukushushia nondo ila bado hutaki kuelewa.

Naona bora ubaki na mtazamo wako na mimi nibaki na mtazamo wangu.

NOTE: Mchezaji bora wa Dunia 2019 ni Lionel Messi.
 
kama itatokezea messi amefunga magoli 100 na assist 50 bila ya kushinda kombe hata moja kwa hoja yako wewe anapaswa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

kwa hoja yako kama itatokezea liverpool wamecheza msimu mzima bila ya kuruhusu kufungwa mechi hata moja huku wakibeba ubingwa bado van virgil hatostahili kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa sababu amezidiwa na messi kitakwimu za magoli.

nilikuwa sijakuelewa brother.
Mkuu messi ni playmaker wa team.
Anachezesha team anapandisha na kushusha mipira.
Yeye ndiye anayeifanya team icheze.
Kazi aliyo nayo messi ni nzito kaka acha maskhara.
Na messi ndiye mkandarasi wa barca km unavyomzungumzia modric mkandarasi wa realmadrid .
VVD mchango atakaouonesha hautafananisha na mchango ambao messi atauonesha.
Kwasababu VVD hakabi peke yake ana backline inamaana akizingua wengine watakaba.
Ila messi yeye ndiye playmaker akizingua yeye team nzima imezingua.
Nadhan ushapata utofauti hapo.
Ndio maana messi anastahili zaidi.
 
Back
Top Bottom