DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
ubora au kiwango bora cha mchezaji unakipima kwa njia gani?Kwahiyo unataka kuniambia Modric alikuwa na kiwango bora kuliko CR7 na MESSI?
Na unataka pia kuniambia WESLEY alikuwa na kiwango bora kuliko MESSI mwaka 2010? Kwa lipi na kipi alichofanya?
Je unafahamu kuwa Makombe ni overall perfomance ya team mzima na sio mchezaji mmoja?
Je unakubaliana nami kuwa unaweza ukawa na wavunja kuni na kubeba makombe ila kazi yao ikawa ni kuzuia na kusubiri penalty kama GREECE au PORTUGAL?
Je unajua kuwa tuzo hupewa kwa kuzingatia overall perfomance ya mchezaji na sio overall perfomance ya team?
Tatizo wengi wetu tunachanganya kati ya team perfomance na individual perfomance na pia tunashindwa kuelewa kuwa tuzo ya uchezaji bora wa Dunia ni individual perfomance na sio team perfomance.
Narudia tena, Nje ya kubeba UCL kwa msimu huu VIRGIL is nothing, ni sawa na KOULIBALY tu, Bernado Silva alikuwa na msimu bora kuliko VIRGIL kwa individual perfomance.
haiwezekani mlinzi wa kati (van virgil) na kiungo mshambuliaji (bernardo silva) wafanane kiuwezo.
kwa hoja zako wewe ina maana zidane, luis figo, cannavaro laiti kama wangelicheza soka nyakati hizi basi wasingelistahili kushinda tunzo za mchezaji bora wa dunia kwa sababu hawafikii ubora walionao messi na ronaldo hususani kwenye ufungaji wa magoli.
unasema hujui alichokifanya wesley sneijder mwaka 2010, brother mbona unaleta utani wa makusudi.