Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,311
- 1,594
Alafu jioni zama na mumewe unawakuta kwenye show ya zuchu na mond, thats lifeWatu wako bizze na Bango la picha ya mume wa Zamaradi. Uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu jioni zama na mumewe unawakuta kwenye show ya zuchu na mond, thats lifeWatu wako bizze na Bango la picha ya mume wa Zamaradi. Uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli naona anaenda kuiangamiza label yake kwa mikono yake mwenyewe .
May be ngoja tuone.Mimi bado siamini hiki kitu labda hadi kitokee. Kuhusu issue ya label labda kama wataacha kuwa professional na kuendekeza mapenzi kitu ambacho si rahisi kwa work ethics za platnumz
Ukiangalia influence ya Power couple yake na Wema kumfikisha hapo alipo utajua kuwa akitengeneza Power couple nyingine inaweza kumtengenezea Biashara pia, kama hiyo "Bad Boy Image" inayohusudiwa zaidi na vijana kwa sasa,
Kuna successful stories pia kama Beyonce na Jay Z, Celine Deone na mume wake, INAWEZEKANA kwao pia mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa.Alafu jioni zama na mumewe unawakuta kwenye show ya zuchu na mond, thats life
Show au NDOA?! Koh! Koh! Koooh!
Eti show itakayokuwa content kwa miaka 5 ijayo 🤣🤣🤣Tunasubiri kuona show ya kutisha ktoka kwa Zuhura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya.Tickets zimeisha muda sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] machawa utawaweza bas? LolEti show itakayokuwa content kwa miaka 5 ijayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Event inaonyeshwa Wasafi Tv the number one Swahili Chanel in the world.Usisahau Kuleta Mrejesho.
Yaw yaw ....Show au NDOA?! Koh! Koh! Koooh!
[emoji817][emoji3581]Mimi bado siamini hiki kitu labda hadi kitokee. Kuhusu issue ya label labda kama wataacha kuwa professional na kuendekeza mapenzi kitu ambacho si rahisi kwa work ethics za platnumz