The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Wanabodi,

Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!, hili ni bandiko la info tip ya the biggest opportune moment ya kuvishana Pete za uchumba ni siku ya Valentine day.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali
Nadhani watakuwa wameitengeneza ili wapige mpunga wa maana.. Biashara ni mbinu
 
Leo ni siku ya valentine, kuna show ya Zuchu hapooo mlimani city.

Kwa kukumegea tu hii show ndio inaenda kuwa show kubwa zaidi ya msanii kuwahi kutokea kwenye muziki wa bongo.

Hii ndio show itaenda ifunika Diamonds Are Forever.

Kwenye entertainment industry ukizungumzia show unatazama vitu vingi kama appearances, stage, mpangilio wa events kuanzia kwenye red carpets, wingi wa watazamaji na uimbaji wa wasanii japo sio ishu kubwa sana.

Na kubwa zaidi na zaidi ni kutengeneza habari. Hii ni show ambayo inaweza kujaza wanahabari kuliko tukio lolote lililowahi kutokea. Show itakuwa na content za kuilisha showbiz kwa miaka mpaka mitano inayokuja.

Ni show ambayo itaanza kunoga baada ya show kuisha, sijui mnanielewa!?🤔

Zuchu atakuwa superdupa staa baada ya show ya leo.

Tumuombee duwa afanikishe balaa lake la leo.
Naona watu walichokuwa wana kitarajia kwa Zuchu na Mondi hakikutokea.Ila wamelibrand vizuri tukio la Zuchu sasa hivi YouTube stream 33k.
 
Back
Top Bottom